diff --git a/06/40.txt b/06/40.txt index d3eaaa7..32d2745 100644 --- a/06/40.txt +++ b/06/40.txt @@ -1 +1 @@ -\v 40 \v 41 \v 42 Sasa, Mungu wangu, ninakusihi, uyafungue macho yako, na masikio yako yasikie maombi yatakayofanywa katika sehemu hii. Sasa basi, amka, Yahwe Mungu, kwenye mahali pako pa kupumzikia, Wewe na sanduku la nguvu zako. Makuhani wako, Yahwe Mungu, wavikwe wokovu, na watakatifu wako wafurahi katika wema. Yahwe Mungu, usiugeuze nyuma uso wa masihi wako. Yakumbuke matendo yako katika agano lako la ufalme kwa ajili ya Daudi, mtumishi wako. \ No newline at end of file +\v 41 \v 42 \v 40 Sasa, Mungu wangu, ninakusihi, uyafungue macho yako, na masikio yako yasikie maombi yatakayofanywa katika sehemu hii. 41 Sasa basi, amka, Yahwe Mungu, kwenye mahali pako pa kupumzikia, Wewe na sanduku la nguvu zako. Makuhani wako, Yahwe Mungu, wavikwe wokovu, na watakatifu wako wafurahi katika wema. 42 Yahwe Mungu, usiugeuze nyuma uso wa masihi wako. Yakumbuke matendo yako katika agano lako la ufalme kwa ajili ya Daudi, mtumishi wako. \ No newline at end of file diff --git a/07/title.txt b/07/title.txt new file mode 100644 index 0000000..9c892ec --- /dev/null +++ b/07/title.txt @@ -0,0 +1,2 @@ +2 Mambo Ya Nyakati +Sura 7 \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index becacb9..43b5e30 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -95,6 +95,7 @@ "06-32", "06-34", "06-36", + "06-40", "33-title", "33-01", "33-04",