Wed Dec 21 2022 15:14:51 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-12-21 15:14:51 +03:00
parent 47245a437c
commit 1051a87592
2 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 13 Sedekia pia akaasi dhidi ya Mfalme Nebukadreza, ambaye alikuwa amemfanya aape uaminifu kwake kupitia Mungu. Lakini Sedekia aliishupaza shingo yake na kuufanya moyo wake mgumu usigeuke kwa Yahwe, Mungu wa Israeli. \v 14 Vilevile, viongozi wote wa makuhani na wa watu hawakuwa waaminifu, na waliufuata uovu wa mataiafa. Waliigoshi nyumba ya Yahwe ambayo alikuwa ameitakasa katika Yerusalemu.
\v 13 Sedekia pia akaasi dhidi ya Mfalme Nebukadreza, ambaye alikuwa amemfanya aape uaminifu kwake kupitia Mungu. Lakini Sedekia aliishupaza shingo yake na kuufanya moyo wake mgumu usigeuke kwa Yahwe, Mungu wa Israeli. \v 14 Vilevile, viongozi wote wa makuhani na watu hawakuwa waaminifu, na waliufuata uovu wa mataiafa. Wakainajisi nyumba ya Yahwe ambayo alikuwa ameitakasa katika Yerusalemu.

View File

@ -41,6 +41,7 @@
"36-05",
"36-08",
"36-09",
"36-11"
"36-11",
"36-13"
]
}