Wed Dec 21 2022 15:12:51 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-12-21 15:12:51 +03:00
parent 7283b29373
commit 47245a437c
3 changed files with 4 additions and 3 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 11 Sedekia alikuwa na umri wa miaka ishirini na moja alipoanza kutawala; akatawala miaka kumi na moja katika Yerusalemu. Akafanya yaliokuwa maovu machoni mwa Yahwe Mungu wake. \v 12 Hakujinyenyekesha mwenyewe mbele za Yeremia nabii, ambaye alisema kutoka kinywan cha Yahwe.
\v 11 Sedekia alikuwa na umri wa miaka ishirini na moja alipoanza kutawala; akatawala miaka kumi na moja katika Yerusalemu. Akafanya yaliokuwa maovu machoni mwa Yahwe Mungu wake. \v 12 Hakujinyenyekesha mwenyewe mbele za Yeremia nabii, ambaye alisema kutoka kinywani cha Yahwe.

View File

@ -1 +1 @@
\v 13 Sedekia pia akaasi zidi ya Mfalme Nebukadreza, ambaye alikuwa amemfanya aape uaminifu kwake kupitia Mungu. Lakini Sedekia aliishupaza shingo yake na kuufanya moyo wake mgumu usigeuke kwa Yahwe, Mungu wa Israeli. \v 14 Vilevile, viongozi wote wa makauhanai na wa watu hawakuwa waaminifu, na waliufuata uovu wa mataiafa. Waliigoshi nyumba ya Yahwe ambayo alikuwa ameitakasa katika Yerusalemu.
\v 13 Sedekia pia akaasi dhidi ya Mfalme Nebukadreza, ambaye alikuwa amemfanya aape uaminifu kwake kupitia Mungu. Lakini Sedekia aliishupaza shingo yake na kuufanya moyo wake mgumu usigeuke kwa Yahwe, Mungu wa Israeli. \v 14 Vilevile, viongozi wote wa makuhani na wa watu hawakuwa waaminifu, na waliufuata uovu wa mataiafa. Waliigoshi nyumba ya Yahwe ambayo alikuwa ameitakasa katika Yerusalemu.

View File

@ -40,6 +40,7 @@
"36-03",
"36-05",
"36-08",
"36-09"
"36-09",
"36-11"
]
}