sw_2ch_text_reg/04/19.txt

1 line
354 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 19 Sulemani akazitengeza samani zote ambazo zilikuwa kwenye nyumba ya Mungu, pia madhabahu ya dhahabu, na meza ambazo juu yake mkate wa uwepo ulipaswa kuwekwa; \v 20 vinara pamoja na taa zake, ambazo zilitengezwa ili kumulika mbele ya chumba cha ndani—hivi vilitengenezwa kwa dhahabu halisi; \v 21 na maua, taa, na makoleo, ya dhahabu, dhahabu safi.