Wed Feb 08 2023 21:28:13 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-02-08 21:28:14 +03:00
parent 21abf0e02b
commit bc1e4cf34c
3 changed files with 3 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 19 Sulemani akazitengeza samani zote ambazo zilikuwa kwenye nyumba ya Mungu, pia madhabahu ya dhahabu, na meza ambazo juu yake mkate wa uwepo ulipaswa kuwekwa; \v 20 vinara pamoja na taa zake, ambazo zilitengezwa ili kumulika mbele ya chumba cha ndani—hivi vilitengenezwa kwa dhahabu halisi; \v 21 na maua, taa, na makoleo, ya dhahabu, dhahabu safi. Pia mikasi ya taa, na mabakuli, vijiko, na vikaango vya sadaka za kuteketezwa vyote vilitengenezwa kwa dhahabu safi. Kuhusu mlanago wa kuingilia kwenye nyumba, milango yake ya ndani kwenye patakatifu pa patakatifu na milango ya nyumba, ambayo ni, ya hekalu, ilitengenezwa kwa dhahabu.
\v 19 Sulemani akazitengeza samani zote ambazo zilikuwa kwenye nyumba ya Mungu, pia madhabahu ya dhahabu, na meza ambazo juu yake mkate wa uwepo ulipaswa kuwekwa; \v 20 vinara pamoja na taa zake, ambazo zilitengezwa ili kumulika mbele ya chumba cha ndani—hivi vilitengenezwa kwa dhahabu halisi; \v 21 na maua, taa, na makoleo, ya dhahabu, dhahabu safi.

1
04/22.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 22 Pia mikasi ya taa, na mabakuli, vijiko, na vikaango vya sadaka za kuteketezwa vyote vilitengenezwa kwa dhahabu safi. Kuhusu mlanago wa kuingilia kwenye nyumba, milango yake ya ndani kwenye patakatifu pa patakatifu na milango ya nyumba, ambayo ni, ya hekalu, ilitengenezwa kwa dhahabu.

View File

@ -68,6 +68,7 @@
"04-11",
"04-14",
"04-17",
"04-19",
"33-title",
"33-01",
"33-04",