Wed Mar 28 2018 08:03:58 GMT+0300 (E. Africa Standard Time)
This commit is contained in:
parent
707f4426d8
commit
c59dc3f682
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 18 \v 19 Wazee wa mji wanapaswa kumchukua mwanamume huyo na kumuadhibu; nao wanapaswa kumtoza faini ya shekeli mia moja ya fedha, na kumpatia baba wa binti, kwa sababu mwanamume kasababisha sifa mbaya kwa bikra wa Israeli. Binti huyu anapaswa kuwa mke wake; mwanamume huyu hatakiwi kumfukuza katika siku zake zote.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 20 \v 21 Ila kama jambo hili ni la kweli, kwamba ushahidi wa bikra ya binti haukupatikana, basi wanapaswa kumpeleka binti mlangoni kwa baba yake, na kisha wanamume wa mji wake wanatakiwa kumpiga kwa mawe hadi afe, kwa sababu amefanya jambo la aibu katika Israeli, kwa kutenda kama kahaba chini ya nyumba ya baba yake, nanyi mtakuwa mmeondoa uovu miongoni mwenu.
|
Loading…
Reference in New Issue