Fri Mar 30 2018 19:56:24 GMT+0300 (E. Africa Standard Time)
This commit is contained in:
parent
ef4db7239b
commit
7ac8e40e28
|
@ -0,0 +1 @@
|
||||||
|
\v 6 \v 7 \v 8 Yahwe Mungu wako atatahiri moyo wako na moyo wa uzao wako, ili umpende Yahwe Mungu wako kwa moyo wako wote na kwa nafsi yako yote, ili kwamba uweze kuishi. Yahwe Mungu wako ataweka laana hizi zote kwa maadui zako na kwa wote wakuchukiayo, wale waliokutesa. Utarudi na kutii sauti ya Yahwe, nawe utatenda amri zake zote ambazo ninakuamuru leo.
|
Loading…
Reference in New Issue