From 7ac8e40e28112b7ff73d0439a4e6e594a60fe9a0 Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: tsDesktop Date: Fri, 30 Mar 2018 19:56:25 +0300 Subject: [PATCH] Fri Mar 30 2018 19:56:24 GMT+0300 (E. Africa Standard Time) --- 30/06.txt | 1 + 1 file changed, 1 insertion(+) create mode 100644 30/06.txt diff --git a/30/06.txt b/30/06.txt new file mode 100644 index 0000000..db72224 --- /dev/null +++ b/30/06.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 6 \v 7 \v 8 Yahwe Mungu wako atatahiri moyo wako na moyo wa uzao wako, ili umpende Yahwe Mungu wako kwa moyo wako wote na kwa nafsi yako yote, ili kwamba uweze kuishi. Yahwe Mungu wako ataweka laana hizi zote kwa maadui zako na kwa wote wakuchukiayo, wale waliokutesa. Utarudi na kutii sauti ya Yahwe, nawe utatenda amri zake zote ambazo ninakuamuru leo. \ No newline at end of file