Fri Mar 30 2018 18:09:06 GMT+0300 (E. Africa Standard Time)
This commit is contained in:
parent
d65a816782
commit
35d3b0c14d
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 15 “Alaaniwe mwanamume atakayechonga sanamu au kinyago, chukizo kwa Yahwe, kazi ya mikono ya fundi, ambayo ataifanya sirini”. Kisha watu wote wanapaswa kujibu na kusema, ‘Amina’.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 16 \v 17 Alaaniwe mwanamume atakayemuaibisha baba yake au mama yake. Kisha watu wote waseme, 'Amina'. Alaaniwe mwanamume anayetoa alama ya ardhi.' Kisha watu wote na waseme, 'Amina'.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 18 \v 19 Alaamiwe mwanamume asababishae kipofu kutoka nje ya barabara. Kisha watu wote waseme, ‘Amina’. Alaaniwe mwanamume atumiaye nguvu kupokonya haki inayomstahili mgeni, yatima, au mjane. Kisha watu wote lazima waseme, ‘Amina’.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 20 \v 21 Alaaniwe mwanamume atakayelala na mke wa baba yake, kwa sababu atakuwa amechukua haki za baba yake’. Kisha watu wote lazima waseme, ‘Amina’. Alaaniwe mwanamume atakayelala na aina yoyote ya mnyama’. Kisha watu wote lazima waseme, ‘Amina’.
|
Loading…
Reference in New Issue