From 35d3b0c14d25cecbd38cd044b861e92a569dba80 Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: tsDesktop Date: Fri, 30 Mar 2018 18:09:06 +0300 Subject: [PATCH] Fri Mar 30 2018 18:09:06 GMT+0300 (E. Africa Standard Time) --- 27/15.txt | 1 + 27/16.txt | 1 + 27/18.txt | 1 + 27/20.txt | 1 + 27/22.txt | 1 + 5 files changed, 5 insertions(+) create mode 100644 27/15.txt create mode 100644 27/16.txt create mode 100644 27/18.txt create mode 100644 27/20.txt create mode 100644 27/22.txt diff --git a/27/15.txt b/27/15.txt new file mode 100644 index 0000000..53913c7 --- /dev/null +++ b/27/15.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 15 “Alaaniwe mwanamume atakayechonga sanamu au kinyago, chukizo kwa Yahwe, kazi ya mikono ya fundi, ambayo ataifanya sirini”. Kisha watu wote wanapaswa kujibu na kusema, ‘Amina’. \ No newline at end of file diff --git a/27/16.txt b/27/16.txt new file mode 100644 index 0000000..d13b8a7 --- /dev/null +++ b/27/16.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 16 \v 17 Alaaniwe mwanamume atakayemuaibisha baba yake au mama yake. Kisha watu wote waseme, 'Amina'. Alaaniwe mwanamume anayetoa alama ya ardhi.' Kisha watu wote na waseme, 'Amina'. \ No newline at end of file diff --git a/27/18.txt b/27/18.txt new file mode 100644 index 0000000..39280c6 --- /dev/null +++ b/27/18.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 18 \v 19 Alaamiwe mwanamume asababishae kipofu kutoka nje ya barabara. Kisha watu wote waseme, ‘Amina’. Alaaniwe mwanamume atumiaye nguvu kupokonya haki inayomstahili mgeni, yatima, au mjane. Kisha watu wote lazima waseme, ‘Amina’. \ No newline at end of file diff --git a/27/20.txt b/27/20.txt new file mode 100644 index 0000000..d6c5577 --- /dev/null +++ b/27/20.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 20 \v 21 Alaaniwe mwanamume atakayelala na mke wa baba yake, kwa sababu atakuwa amechukua haki za baba yake’. Kisha watu wote lazima waseme, ‘Amina’. Alaaniwe mwanamume atakayelala na aina yoyote ya mnyama’. Kisha watu wote lazima waseme, ‘Amina’. \ No newline at end of file diff --git a/27/22.txt b/27/22.txt new file mode 100644 index 0000000..68ff758 --- /dev/null +++ b/27/22.txt @@ -0,0 +1 @@ +Alaaniwe mwanamume atakayelala na dada yake, binti wa baba yake, au binti wa mama yake. Kisha watu wote lazima waseme, ‘Amina’. Alaaniwe mwanamume atakayelala na mama mkwe’. Kisha watu wote lazima waseme, ‘Amina’. \ No newline at end of file