Tue Apr 18 2023 12:54:18 GMT-0700 (Pacific Daylight Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-18 12:54:19 -07:00
parent 6f173f456e
commit ba5088d0ad
5 changed files with 5 additions and 0 deletions

1
26/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 26 \v 1 1 Basi njaa ikatokea katika nchi, mbali na njaa ya kwanza iliyotokea siku za Ibrahimu. Isaka akaenda kwa Abimeleki, mfalme wa Wafilisiti huko Gerari.

1
26/02.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 2 \v 3 2 Basi Yahwe akamtokea na kumwambia, "Usishuke kwenda Misri; kaa katika nchi niliyokuambia. 3 Kaa katika nchi hii hii niliyokuambia, nami nitakuwa pamoja nawe na kukubariki; kwani kwako wewe na uzao wako, nitawapa nchi hii yote, nami nitatimiza kiapo nilichomwapia Ibrahimu baba yako.

1
26/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 4 \v 5 4 Nitauzidisha uzao wako kama nyota za mbinguni, nami nitawapa uzao wako nchi hizi zote. Kupitia uzao wako mataifa yote ya dunia yatabarikiwa. 5 Nitalifanya hili kwa sababu Ibrahimu aliitii sauti yangu na kutunza maelekezo yangu, amri zangu na sheria zangu."

1
26/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 \v 7 \v 8 6 Hivyo Isaka akakaa Gerari. 7 Watu wa eneo hilo walipomwuliza juu ya mke wake, alisema, "Yeye ni dada yangu." Aliogopa kusema, "Yeye ni mke wangu," kwa kuwa alidhani, "Watu wa nchi hii wataniua ili wamchukue Rebeka, kwa kuwa ni mzuri wa uso." 8 Baada ya Isaka kuwa amekaa pale kwa muda mrefu, Ikatukia kwamba Abimeleki mfalme wa Wafilisiti alichungulia katika dirisha. Tazama, akamwona Isaka akimpapasa Rebeka, mke wake.

1
26/09.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 9 \v 10 \v 11 9 Abimeleki akamwita Isaka kwake na kusema, "Tazama, kwa hakika yeye ni mke wako. Kwa nini ulisema, 'Yeye ni dada yangu?" Isaka akamwambia, "Kwa sababu nilidhani mtu mmoja aweza kuniua ili amchukue." 10 Abimeleki akamwambia, "Ni jambo gani hili ulilotufanyia? Mmojawapo wa watu angeweza bila shaka kulala na mke wako, nawe ungeweza kuleta hatia juu yetu." 11 Hivyo Abimeleki akawaonya watu wote na kusema, "Mtu yeyote atakayemgusa mtu huyu au mke wake atauwawa."