Tue Apr 18 2023 12:52:17 GMT-0700 (Pacific Daylight Time)
This commit is contained in:
parent
903bb82aee
commit
6f173f456e
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 21 \v 22 21 Isaka akamwomba Yahwe kwa ajili ya mke wake kwa sababu alikuwa tasa, na Yahwe akajibu maombi yake, Rebeka mkewe akabeba mimba. 22 Watoto hawa walipokuwa tumboni mwake wakasumbuka, naye akasema, "Kwa nini jambo hili linatokea kwangu mimi?" Akaenda kumuuliza Yahwe kuhusu jambo hili.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 23 23 Yahwe akamwambia, "Mataifa mawili yako katika tumbo lako, na mataifa haya mawili yatatengana ndani yako. Taifa moja litakuwa lenye nguvu kuliko lingine, na yule mkubwa atamtumikia mdogo.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 24 \v 25 \v 26 24 Ulipo wadia wakati wa kujifungua, tazama, kulikuwa na mapacha ndani ya tumbo lake. 25 Wa kwanza akatoka akiwa mwekundu mwili wote kama vazi la nywele. Wakamwita jina lake Esau. 26 Baada ya hapo ndugu yake akatoka. Mkono wake ukiwa umeshika kisigino cha Esau. Akaitwa jina lake Yakobo. Isaka alikuwa na umri wa miaka sitini wakati mke wake alipo wazaa hawa watoto.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 27 \v 28 27 Vijana hawa wakakua, Hesau akawa mwindaji hodari, mtu wa nyikani; lakini Yakobo alikuwa mtu mkimya, aliye tumia muda wake akiwa katika mahema. 28 Kisha Isaka akampenda Esau kwa sababu alikula wanyama ambao alikuwa anawinda, lakini Rebeka akampenda Yakobo.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 29 \v 30 29 Yakobo akapika mchuzi. Esau akaja kutoka nyikani, akiwa dhaifu kutokana na njaa. 30 Esau akamwambia Yakobo, "Nilishe mchuzi mwekundu. Tafadhari, nimechoka!" Na hii ndiyo sababu jina lake aliitwa Edomu.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 31 \v 32 \v 33 \v 34 31 Yakobo akasema, "Kwanza uniuzie haki yako ya mzaliwa wa kwanza." 32 Esau akasema, "Tazama, nakaribia kufa. Ni nini kwangu haki ya mzaliwa wa kwanza?" 33 Yakobo akasema, "Kwanza uape kwangu mimi," kwa hiyo Esau akaapa kiapo na kwa njia hii akawa ameuza haki yake ya mzaliwa wa kwanza kwa Yakobo. 34 Yakobo akampatia Esau mkate pamoja na mchuzi wa dengu. Akala na kunywa, kisha akainuka na akaenda zake. Kwa njia hii Esau akawa ameidharau haki yake ya mzaliwa wa kwanza.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
Sura 26
|
Loading…
Reference in New Issue