Tue Apr 18 2023 12:18:16 GMT-0700 (Pacific Daylight Time)
This commit is contained in:
parent
2867608100
commit
aa68a5b61f
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 7 \v 8 7 Isaka akazungumza na Abraham baba yake akisema, "Baba yangu," naye akasema, " Ndiyo mwanangu." Akasema, "Tazama huu ni moto na kuni, lakini yuko wapi mwanakondoo kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa?" 8 Abraham akasema, "Mungu mwenyewe atatupatia mwanakondoo kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa, mwanangu." Kwa hiyo wakaendelea, wote wawili pamoja.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 9 \v 10 9 Walipofika mahali ambapo Mungu alikuwa amemwambia, Abraham akajenga madhabahu pale na akaweka kuni juu yake. Kisha akamfunga Isaka mwanawe, na akamlaza juu ya madhabahu, juu ya zile kuni. 10 Abraham akanyoosha mkono wake akachukua kisu ili kumuua mwanawe.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 11 \v 12 11 Ndipo malaika wa Yahwe akamwita kutoka mbinguni na kusema, "Abraham, Abraham!" naye akasema, "Mimi hapa." 12 Akasema, "usinyooshe mkono wako juu ya kijana, wala usifanye jambo lolote kumdhuru, kwa kuwa sasa najua unamcha Mungu, kwa kuona kuwa hukumzuilia mwanao, mwanao wa pekee, kwa ajili yangu."
|
Loading…
Reference in New Issue