From aa68a5b61f6c9b004e9c6758d5f92c30853f5dc4 Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: tsDesktop Date: Tue, 18 Apr 2023 12:18:17 -0700 Subject: [PATCH] Tue Apr 18 2023 12:18:16 GMT-0700 (Pacific Daylight Time) --- 22/07.txt | 1 + 22/09.txt | 1 + 22/11.txt | 1 + 3 files changed, 3 insertions(+) create mode 100644 22/07.txt create mode 100644 22/09.txt create mode 100644 22/11.txt diff --git a/22/07.txt b/22/07.txt new file mode 100644 index 0000000..f0f62af --- /dev/null +++ b/22/07.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 7 \v 8 7 Isaka akazungumza na Abraham baba yake akisema, "Baba yangu," naye akasema, " Ndiyo mwanangu." Akasema, "Tazama huu ni moto na kuni, lakini yuko wapi mwanakondoo kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa?" 8 Abraham akasema, "Mungu mwenyewe atatupatia mwanakondoo kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa, mwanangu." Kwa hiyo wakaendelea, wote wawili pamoja. \ No newline at end of file diff --git a/22/09.txt b/22/09.txt new file mode 100644 index 0000000..4be25ab --- /dev/null +++ b/22/09.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 9 \v 10 9 Walipofika mahali ambapo Mungu alikuwa amemwambia, Abraham akajenga madhabahu pale na akaweka kuni juu yake. Kisha akamfunga Isaka mwanawe, na akamlaza juu ya madhabahu, juu ya zile kuni. 10 Abraham akanyoosha mkono wake akachukua kisu ili kumuua mwanawe. \ No newline at end of file diff --git a/22/11.txt b/22/11.txt new file mode 100644 index 0000000..3408a3b --- /dev/null +++ b/22/11.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 11 \v 12 11 Ndipo malaika wa Yahwe akamwita kutoka mbinguni na kusema, "Abraham, Abraham!" naye akasema, "Mimi hapa." 12 Akasema, "usinyooshe mkono wako juu ya kijana, wala usifanye jambo lolote kumdhuru, kwa kuwa sasa najua unamcha Mungu, kwa kuona kuwa hukumzuilia mwanao, mwanao wa pekee, kwa ajili yangu." \ No newline at end of file