Tue Dec 06 2022 01:51:23 GMT-0800 (Pacific Standard Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-12-06 01:51:24 -08:00
parent f6aba50072
commit 98e3904d21
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 16 \v 17 \v 18 \v 19 16 Mungu akafanya mianga mikuu miwili, mwanga mkuu zaidi kutawala mchana, na mwanga mdogo kutawala usiku. Akafanya nyota pia. 17 Mungu akazipanga katika anga kutoa mwanga juu ya nchi, 18 kutawala mchana na usiku, na kugawanya mwanga kutoka kwenye giza. Mungu akaona kuwa ni vyema. 19 Ikawa jioni na asubuhi, siku ya nne. \v 16 Mungu akafanya mianga mikuu miwili, mwanga mkuu zaidi kutawala mchana, na mwanga mdogo kutawala usiku. Akafanya nyota pia. \v 17 Mungu akazipanga katika anga kutoa mwanga juu ya nchi, \v 18 kutawala mchana na usiku, na kugawanya mwanga kutoka kwenye giza. Mungu akaona kuwa ni vyema. 19 \v 19 Ikawa jioni na asubuhi, siku ya nne.