diff --git a/01/16.txt b/01/16.txt index 19605fd..72b42b6 100644 --- a/01/16.txt +++ b/01/16.txt @@ -1 +1 @@ -\v 16 \v 17 \v 18 \v 19 16 Mungu akafanya mianga mikuu miwili, mwanga mkuu zaidi kutawala mchana, na mwanga mdogo kutawala usiku. Akafanya nyota pia. 17 Mungu akazipanga katika anga kutoa mwanga juu ya nchi, 18 kutawala mchana na usiku, na kugawanya mwanga kutoka kwenye giza. Mungu akaona kuwa ni vyema. 19 Ikawa jioni na asubuhi, siku ya nne. \ No newline at end of file +\v 16 Mungu akafanya mianga mikuu miwili, mwanga mkuu zaidi kutawala mchana, na mwanga mdogo kutawala usiku. Akafanya nyota pia. \v 17 Mungu akazipanga katika anga kutoa mwanga juu ya nchi, \v 18 kutawala mchana na usiku, na kugawanya mwanga kutoka kwenye giza. Mungu akaona kuwa ni vyema. 19 \v 19 Ikawa jioni na asubuhi, siku ya nne. \ No newline at end of file