Tue Apr 18 2023 10:36:13 GMT-0700 (Pacific Daylight Time)
This commit is contained in:
parent
1410bd6143
commit
73951f6093
|
@ -0,0 +1 @@
|
||||||
|
\v 11 \v 12 \v 13 \v 14 11 Kutoka katika nchi ile, alienda Ashuru na akajenga Ninawi, Rehoboth- iri na Kala, 12 na Raseni ambao ulikuwa kati ya Ninawi na Kala. Ulikuwa mji mkubwa. 13 Misraimu akazaa Waludi, Waanami, Walehabi, na Wanaftuhi, 14 Wapathrusi na Wakasluhi ( ambao kwao Wafilisti walitokea), na Wakaftori.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
||||||
|
\v 15 \v 16 \v 17 \v 18 15 Kanaani akamzaa Sidono, mwanawe wa kwanza, na Hethi, 16 pia na Myebusi, na Mwamori, Mgirgashi, 17 Mhivi, Mwarki, Msini, 18 Mwarvadi, Msemari, na Mhamathi. Baadaye koo za wakanaani zikasambaa.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
||||||
|
\v 19 \v 20 19 Mpaka wa Wakanaani ulianzia Sidoni, katika mwelekeo wa Gerari, hata Gaza, na kama kuelekea Sodoma, Gomora, Adma, na Seboimu hata Lasha. 20 Hawa walikuwa wana wa Hamu, kwa koo zao, kwa lugha zao, katika ardhi zao na katika mataifa yao.
|
Loading…
Reference in New Issue