diff --git a/10/11.txt b/10/11.txt new file mode 100644 index 0000000..472183d --- /dev/null +++ b/10/11.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 11 \v 12 \v 13 \v 14 11 Kutoka katika nchi ile, alienda Ashuru na akajenga Ninawi, Rehoboth- iri na Kala, 12 na Raseni ambao ulikuwa kati ya Ninawi na Kala. Ulikuwa mji mkubwa. 13 Misraimu akazaa Waludi, Waanami, Walehabi, na Wanaftuhi, 14 Wapathrusi na Wakasluhi ( ambao kwao Wafilisti walitokea), na Wakaftori. \ No newline at end of file diff --git a/10/15.txt b/10/15.txt new file mode 100644 index 0000000..267f6e7 --- /dev/null +++ b/10/15.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 15 \v 16 \v 17 \v 18 15 Kanaani akamzaa Sidono, mwanawe wa kwanza, na Hethi, 16 pia na Myebusi, na Mwamori, Mgirgashi, 17 Mhivi, Mwarki, Msini, 18 Mwarvadi, Msemari, na Mhamathi. Baadaye koo za wakanaani zikasambaa. \ No newline at end of file diff --git a/10/19.txt b/10/19.txt new file mode 100644 index 0000000..90b1708 --- /dev/null +++ b/10/19.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 19 \v 20 19 Mpaka wa Wakanaani ulianzia Sidoni, katika mwelekeo wa Gerari, hata Gaza, na kama kuelekea Sodoma, Gomora, Adma, na Seboimu hata Lasha. 20 Hawa walikuwa wana wa Hamu, kwa koo zao, kwa lugha zao, katika ardhi zao na katika mataifa yao. \ No newline at end of file diff --git a/10/21.txt b/10/21.txt new file mode 100644 index 0000000..d2b723e --- /dev/null +++ b/10/21.txt @@ -0,0 +1 @@ +21 Pia walizaliwa wana kwa Shemu, ndugu yake mkubwa wa Yafethi. Shemu pia alikuwa baba yao na watu wote wa Eberi. 22 Wana wa Shemu walikuwa Elamu, Ashuru, Alfaksadi, Ludi, na Aramu. 23 Wana wa Aramu walikuwa ni Usi, Huli, Getheri, na Mashi. \ No newline at end of file