Tue Apr 18 2023 10:36:13 GMT-0700 (Pacific Daylight Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-18 10:36:13 -07:00
parent 1410bd6143
commit 73951f6093
4 changed files with 4 additions and 0 deletions

1
10/11.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 11 \v 12 \v 13 \v 14 11 Kutoka katika nchi ile, alienda Ashuru na akajenga Ninawi, Rehoboth- iri na Kala, 12 na Raseni ambao ulikuwa kati ya Ninawi na Kala. Ulikuwa mji mkubwa. 13 Misraimu akazaa Waludi, Waanami, Walehabi, na Wanaftuhi, 14 Wapathrusi na Wakasluhi ( ambao kwao Wafilisti walitokea), na Wakaftori.

1
10/15.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 15 \v 16 \v 17 \v 18 15 Kanaani akamzaa Sidono, mwanawe wa kwanza, na Hethi, 16 pia na Myebusi, na Mwamori, Mgirgashi, 17 Mhivi, Mwarki, Msini, 18 Mwarvadi, Msemari, na Mhamathi. Baadaye koo za wakanaani zikasambaa.

1
10/19.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 19 \v 20 19 Mpaka wa Wakanaani ulianzia Sidoni, katika mwelekeo wa Gerari, hata Gaza, na kama kuelekea Sodoma, Gomora, Adma, na Seboimu hata Lasha. 20 Hawa walikuwa wana wa Hamu, kwa koo zao, kwa lugha zao, katika ardhi zao na katika mataifa yao.

1
10/21.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
21 Pia walizaliwa wana kwa Shemu, ndugu yake mkubwa wa Yafethi. Shemu pia alikuwa baba yao na watu wote wa Eberi. 22 Wana wa Shemu walikuwa Elamu, Ashuru, Alfaksadi, Ludi, na Aramu. 23 Wana wa Aramu walikuwa ni Usi, Huli, Getheri, na Mashi.