Tue Apr 18 2023 20:43:34 GMT-0700 (Pacific Daylight Time)
This commit is contained in:
parent
3ffd9aee34
commit
5a560b2e30
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\c 49 \v 1 \v 2 1 Kisha Yakobo akawaita wana wake, na kusema: "Jikusanyeni pamoja, ili niwaambie yatakayowapata nyakati zijazo. 2 Kusanyikeni ninyi wenyewe na msikilize, enyi wana wa Yakobo. Msikilizeni Israeli, baba yenu.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 3 \v 4 3 Reubeni, wewe ni mzaliwa wangu wa kwanza, nguvu zangu, na mwanzo wa uwezo wangu, aliyesalia katika heshima na nguvu. 4 Asiyezuilika kama maji yarukayo, hautakuwa na umaharufu, kwa sababu ulikwenda juu ya kitanda cha baba yako. Hata ukakitia unajisi; ulikipanda kwa kuvizia.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 5 \v 6 5 Simoni na Lawi ni ndugu. Panga zao ni silaha za vurugu. 6 Ee nafsi yangu, usiingie barazani pao; usiingie katika mikutano yao, kwani moyo wangu unaheshima kubwa kwa ajili yao. Kwani katika hasira yao waliua watu. Iliwapendeza kuwakata visigino ng'ombe.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 7 7 Hasira yao na ilaaniwe, kwani ilikuwa kali - na ukali wao, kwani ulikuwa ni katili. Nitawagawa katika Yakobo na kuwatawanya katika Israeli.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 8 8 Yuda, ndugu zako watakusifu. Mkono wako utakuwa shingoni mwa adui zako. Wana wa baba yako watainama mbele zako
|
|
@ -0,0 +1,3 @@
|
|||
9 Yuda ni mwana simba. Mwanangu, umetoka katika mawindo yako. Alisimama chini, alijikunyata kama simba, kama simba jike. Je ninani atakayejaribu kumwamsha? 10 Fimbo haitaondoka katika Yuda, wala fimbo ya utawala kutoka katika miguu yake, hata atakapo kuja Shilo. Mataifa yatamtii. 11 Kumfunga punda wake kwenye mzabibu, na mwanapunda wake katika mzabibu mzuri, amefua mavazi yake katika divai, na kanzu yake katika damu ya vichala vya mzabibu. 12 Macho yake yatakuwa mekundu kama mvinyo, na meno
|
||||
|
||||
yake meupe kama maziwa.
|
Loading…
Reference in New Issue