Tue Apr 18 2023 20:41:33 GMT-0700 (Pacific Daylight Time)
This commit is contained in:
parent
a4e088d237
commit
3ffd9aee34
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 11 \v 12 \v 13 11 Israeli akamwambia Yusufu, "Sikutazamia kuuona uso wako tena, Lakini Mungu ameniruhusu kuwaona hata wanao." 12 Yusufu akawaondoa kati ya magoti ya Israeli, na kisha akainama na uso wake juu ya nchi. 13 Yusufu akawachukua wote wawili, Efrahimu katika mkono wake wa kulia kuelekea mkono wa kushoto wa Israeli, na Manase katika mkono wake wa kulia kuelekea mkono wa kulia wa Israeli, na akawasongeza kwake.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 14 \v 15 \v 16 14 Israeli akainua mkono wake wa kulia na kuuweka juu ya kichwa cha Efrahimu, aliyekuwa mdogo, na mkono wake wa kushoto juu ya kichwa cha Manase. Akaipishanisha mikono yake, kwani Manase ndiye alikuwa mzaliwa wa kwanza. 15 Israeli akambariki Yusufu, akisema, Mungu ambaye mbele zake baba zangu Ibrahimu na Isaka walitembea, Mungu aliyenilinda hata leo, 16 malaika walionilinda na madhara yote, awabariki vijana hawa. Jina langu na litajwe kwao, na majina ya baba zangu Ibrahimu na Isaka. Na wawe makutano ya watu juu ya nchi."
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 17 \v 18 17 Yusufu alipoona baba yake ameweka mkono wake wa kulia juu ya kichwa cha Efrahimu, haikumpendeza. Akauchukua mkono wa baba yake auweke katika kichwa cha Manase. 18 Yusufu akamwambia baba yake, "Sivyo babangu; kwani huyu ndiye mzaliwa wa kwanza. Uweke mkono wako juu ya kichwa chake."
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 19 \v 20 19 Baba yake akakataa na kusema, "Ninafahamu, mwanangu, nafahamu. Yeye naye atakuwa watu, naye pia atakuwa mkuu. Lakini mdogo wake atakuwa mkuu kuliko yeye, na uzao wake utakuwa wingi wa mataifa." 20 Israeli akawabariki siku hiyo kwa maneno haya, "Watu wa Israeli watatamka baraka kwa majina yenu wakisema, Mungu na akufanye kama Efrahimu na kama Manase'. "Kwa njia hii, Israeli akamweka Efrahimu mbele ya Manase.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 21 \v 22 21 Israeli akamwambia Yusufu, "Tazama, ninakaribia kufa, lakini Mungu atakuwa nanyi, na atawarudisha katika nchi ya baba zenu. 22 Kwako wewe, kwa kuwa uko juu ya ndugu zako, ninakupa mtelemko wa mlima niliouchukuwa kutoka kwa Waamori kwa upanga wangu na upinde wangu."
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
Sura 49
|
Loading…
Reference in New Issue