Tue Apr 18 2023 10:28:13 GMT-0700 (Pacific Daylight Time)
This commit is contained in:
parent
9a9df46ab1
commit
571448207b
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 20 \v 21 20 Nuhu akaanza kuwa mkulima, na akapanda mizabibu. 21 Akanywa sehemu ya divai na akalewa. Akawa amelala hemeani uchi. 22 Kisha Hamu, baba yake na Kanaani, akaona uchi wa baba yake na akawaambia ndugu zake wawili waliokuwa nje.
|
||||
\v 20 \v 21 20 Nuhu akaanza kuwa mkulima, na akapanda mizabibu. 21 Akanywa sehemu ya divai na akalewa. Akawa amelala hemeani uchi.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 22 \v 23 22 Kisha Hamu, baba yake na Kanaani, akaona uchi wa baba yake na akawaambia ndugu zake wawili waliokuwa nje. 23 Kwa hiyo Shemu na Yafethi wakachukua kanzu wakaitanda juu ya mabega yao, na wakatembea kinyumenyume na wakaufunika uchi wa baba yao. Nyuso zao zikiwa zimegeuka nyuma upande mwingine, kwa hiyo hawakuona uchi wa baba yao.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 24 \v 25 24 Nuhu alipozinduka kutoka katika ulevi wake, alijua ni jambo gani mtoto wake mdogo amemfanyia. 25 Hivyo akasema, "Alaaniwe Kanaani. Na awe mtumishi kwa watumishi wa ndugu zake."
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 26 \v 27 26 Akasema pia, Yahwe, Mungu wa Shemu, abarikiwe, Kanaani na awe mtumwa wake. 27 Mungu na apanue mipaka ya Yafethi, na afanye makazi yake katika hema za Shemu. Kanaani na awe mtumwa wake."
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 28 \v 29 28 Baada ya gharika, Nuhu aliishi miaka miatatu na hamsini. 29 Siku zote za Nuhu zilikuwa ni miaka mia tisa na hamsini, na kisha akafa.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
Sura 10
|
Loading…
Reference in New Issue