Tue Apr 18 2023 10:26:13 GMT-0700 (Pacific Daylight Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-18 10:26:13 -07:00
parent 1603475598
commit 9a9df46ab1
5 changed files with 5 additions and 0 deletions

1
09/11.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 11 \v 12 \v 13 11 Kwa sababu hii ninalithibitisha agano langu pamoja nanyi, kwamba hapatatokea kuangamizwa kwa mwenye mwili kwa njia ya maji ya gharika. Tena hapatatokea gharika ya kuangamiza nchi." 12 Mungu akasema, " na hii ndiyo ishara ya agano ambalo ninafanya kati yangu na ninyi pamoja na kila kiumbe hai kilicho pamoja nanyi, kwa vizazi vyote vya baadaye: 13 Nimeweka upinde wangu wa mvua katika wingu, na itakuwa ndiyo ishara ya agano kati yangu na nchi.

1
09/14.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 14 \v 15 14 Hata itakuwa nitakapoleta wingu juu ya nchi na upinde wa mvua ukaonekana katika wingu, 15 ndipo nitakumbuka agano langu, ambalo ni kati yangu na ninyi na kila kiumbe hai cha wote mwenye mwili. Maji hayatafanyika tena gharika kuharibu wote wenye mwili.

1
09/16.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 16 \v 17 16 Upinde wa mvua utakuwa katika mawingu na nitauona, ili kukumbuka agano la milele kati ya Mungu na kila kiumbe hai cha wote wenye mwili ambacho kiko juu ya nchi." 17 Kisha Mungu akamwambia Nuhu, " Hii ni ishara ya agano ambalo nimelithibitisha kati yangu na wenye mwili wote ambao wako juu ya nchi."

1
09/18.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 18 \v 19 18 Wana wa Nuhu ambao walitoka katika safina walikuwa ni Shemu, Hamu, na Yafethi. Na Hamu akamzaa kanaani. 19 Watatu hawa walikuwa ndio wana wa Nuhu, na kutokea kwa hawa nchi yote ikajaa watu.

1
09/20.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 20 \v 21 20 Nuhu akaanza kuwa mkulima, na akapanda mizabibu. 21 Akanywa sehemu ya divai na akalewa. Akawa amelala hemeani uchi. 22 Kisha Hamu, baba yake na Kanaani, akaona uchi wa baba yake na akawaambia ndugu zake wawili waliokuwa nje.