Tue Dec 06 2022 03:35:28 GMT-0800 (Pacific Standard Time)
This commit is contained in:
parent
95394aab15
commit
396d4bb0f7
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 18 18 Kisha Yahwe Mungu akasema, "siyo jambo jema kwamba mtu huyu lazima awe pekeyake. Nitamfanyia msaidizi anaye mfaa." \v 19 19 Kutoka ardhini Yahwe Mungu akafanya kila mnyama wa kondeni na kila ndege wa angani. Kisha akawaleta kwa mtu huyu aone angewapatia majina gani. Jina ambalo mtu huyu alimwita kila kiumbe hai, hili ndilo lilikuwa jina lake. \v 20 20 Mtu huyu akawapatia majina wanyama wote, ndege wote wa angani, na kila mnyama wa mwitu. Lakini kwa mtu mwenyewe hapakuwa na msaidizi wa kumfaa yeye.
|
||||
\v 18 Kisha Yahwe Mungu akasema, "siyo jambo jema kwamba mtu huyu lazima awe pekeyake. Nitamfanyia msaidizi anaye mfaa." \v 19 Kutoka ardhini Yahwe Mungu akafanya kila mnyama wa kondeni na kila ndege wa angani. Kisha akawaleta kwa mtu huyu aone angewapatia majina gani. Jina ambalo mtu huyu alimwita kila kiumbe hai, hili ndilo lilikuwa jina lake. \v 20 Mtu huyu akawapatia majina wanyama wote, ndege wote wa angani, na kila mnyama wa mwitu. Lakini kwa mtu mwenyewe hapakuwa na msaidizi wa kumfaa yeye.
|
|
@ -0,0 +1,2 @@
|
|||
21 Yahwe Mungu akaleta usingizi mzito kwa mtu huyu, kwa hiyo mtu huyu akalala. Yahwe
|
||||
Mungu akatwaa moja ya mbavu za mtu huyu na akapafunika pale alipo chukua ubavu. 22 Kwa ubavu ambao Yahwe Mungu alichukua toka kwa mtu huyu, akafanya mwanamke na akamleta kwa mtu huyu. 23 Mwanaume akasema, "kwa sasa, huyu ni mfupa katika mifupa yangu, na nyama katika nyama yangu. ataitwa 'mwanamke,' kwa sababu ametwaliwa katika mwanaume.
|
|
@ -58,6 +58,7 @@
|
|||
"02-09",
|
||||
"02-11",
|
||||
"02-13",
|
||||
"02-15"
|
||||
"02-15",
|
||||
"02-18"
|
||||
]
|
||||
}
|
Loading…
Reference in New Issue