From 396d4bb0f73b317a4d76ae656f831d04315692aa Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: tsDesktop Date: Tue, 6 Dec 2022 03:35:29 -0800 Subject: [PATCH] Tue Dec 06 2022 03:35:28 GMT-0800 (Pacific Standard Time) --- 02/18.txt | 2 +- 02/21.txt | 2 ++ manifest.json | 3 ++- 3 files changed, 5 insertions(+), 2 deletions(-) create mode 100644 02/21.txt diff --git a/02/18.txt b/02/18.txt index 4c41f81..e855666 100644 --- a/02/18.txt +++ b/02/18.txt @@ -1 +1 @@ -\v 18 18 Kisha Yahwe Mungu akasema, "siyo jambo jema kwamba mtu huyu lazima awe pekeyake. Nitamfanyia msaidizi anaye mfaa." \v 19 19 Kutoka ardhini Yahwe Mungu akafanya kila mnyama wa kondeni na kila ndege wa angani. Kisha akawaleta kwa mtu huyu aone angewapatia majina gani. Jina ambalo mtu huyu alimwita kila kiumbe hai, hili ndilo lilikuwa jina lake. \v 20 20 Mtu huyu akawapatia majina wanyama wote, ndege wote wa angani, na kila mnyama wa mwitu. Lakini kwa mtu mwenyewe hapakuwa na msaidizi wa kumfaa yeye. \ No newline at end of file +\v 18 Kisha Yahwe Mungu akasema, "siyo jambo jema kwamba mtu huyu lazima awe pekeyake. Nitamfanyia msaidizi anaye mfaa." \v 19 Kutoka ardhini Yahwe Mungu akafanya kila mnyama wa kondeni na kila ndege wa angani. Kisha akawaleta kwa mtu huyu aone angewapatia majina gani. Jina ambalo mtu huyu alimwita kila kiumbe hai, hili ndilo lilikuwa jina lake. \v 20 Mtu huyu akawapatia majina wanyama wote, ndege wote wa angani, na kila mnyama wa mwitu. Lakini kwa mtu mwenyewe hapakuwa na msaidizi wa kumfaa yeye. \ No newline at end of file diff --git a/02/21.txt b/02/21.txt new file mode 100644 index 0000000..4f4beec --- /dev/null +++ b/02/21.txt @@ -0,0 +1,2 @@ +21 Yahwe Mungu akaleta usingizi mzito kwa mtu huyu, kwa hiyo mtu huyu akalala. Yahwe +Mungu akatwaa moja ya mbavu za mtu huyu na akapafunika pale alipo chukua ubavu. 22 Kwa ubavu ambao Yahwe Mungu alichukua toka kwa mtu huyu, akafanya mwanamke na akamleta kwa mtu huyu. 23 Mwanaume akasema, "kwa sasa, huyu ni mfupa katika mifupa yangu, na nyama katika nyama yangu. ataitwa 'mwanamke,' kwa sababu ametwaliwa katika mwanaume. diff --git a/manifest.json b/manifest.json index 143f789..0b4b52c 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -58,6 +58,7 @@ "02-09", "02-11", "02-13", - "02-15" + "02-15", + "02-18" ] } \ No newline at end of file