Tue Apr 18 2023 12:38:17 GMT-0700 (Pacific Daylight Time)
This commit is contained in:
parent
a6695e8a50
commit
1e95197693
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 39 \v 40 \v 41 39 Nikamwambia bwana wangu, pengine mwanamke huyo asikubali kufuatana nami.' 40 Lakini akaniambia, Yahwe, ambaye ninakwenda mbele yake, atatuma malaika wake pamoja nawe na atakufanikisha njia yako, kwamba utapata mke kwa ajili ya mwangu kutoka miongoni mwa ndugu zangu na kutoka katika ukoo wa baba yangu. 41 Lakini utakuwa huru katika kiapo changu ikiwa utafika kwa ndugu zangu na wasikuruhusu kuja naye. Ndipo utakuwa huru katika kiapo changu.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 42 \v 43 \v 44 42 Hivyo nimefika leo kisimani, na nikasema, 'O Yahwe, Mungu wa bwana wangu Abraham, tafadhali, ikiwa kweli umekusudia kuifanya safari yangu kuwa yenye kufanikiwa - 43 tazama niko hapa nimesimama karibu na kisima cha maji - na iwe kwamba binti ajaye kuchota maji, nitakaye mwambia, "Tafadhali unipatie maji kidogom kutoka kwenye mtungi wako ninywe," mwanamke atakaye niambia, 44 "Kunywa, na nitakuchotea pia maji kwa ajili ya ngamia wako" - na awe ndiye ambaye wewe Yahwe, umemchagulia mtoto wa bwana wangu."
|
|
@ -0,0 +1,3 @@
|
|||
45 Ikawa hata kabla sijamaliza kuzungumza moyoni mwangu, Tazama, Rebeka akaja na mtungi wake juu ya bega lake akashuka chini kisimani akachota maji. Hivyo nikamwambia, 'Tafadhali nipatie maji ninywe.' 46 Ndipo kwa
|
||||
|
||||
haraka alipoushusha mtungi wake begani mwake na akasema, 'Kunywa, na pia nitawapatia maji ngamia wako.' Kwa hiyo nikanywa, na akawanywesha ngamia pia.
|
Loading…
Reference in New Issue