From 1e95197693bd6c4e9f7e91225ec8307c6078d9e6 Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: tsDesktop Date: Tue, 18 Apr 2023 12:38:18 -0700 Subject: [PATCH] Tue Apr 18 2023 12:38:17 GMT-0700 (Pacific Daylight Time) --- 24/39.txt | 1 + 24/42.txt | 1 + 24/45.txt | 3 +++ 3 files changed, 5 insertions(+) create mode 100644 24/39.txt create mode 100644 24/42.txt create mode 100644 24/45.txt diff --git a/24/39.txt b/24/39.txt new file mode 100644 index 0000000..8a7e6a2 --- /dev/null +++ b/24/39.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 39 \v 40 \v 41 39 Nikamwambia bwana wangu, pengine mwanamke huyo asikubali kufuatana nami.' 40 Lakini akaniambia, Yahwe, ambaye ninakwenda mbele yake, atatuma malaika wake pamoja nawe na atakufanikisha njia yako, kwamba utapata mke kwa ajili ya mwangu kutoka miongoni mwa ndugu zangu na kutoka katika ukoo wa baba yangu. 41 Lakini utakuwa huru katika kiapo changu ikiwa utafika kwa ndugu zangu na wasikuruhusu kuja naye. Ndipo utakuwa huru katika kiapo changu. \ No newline at end of file diff --git a/24/42.txt b/24/42.txt new file mode 100644 index 0000000..357247a --- /dev/null +++ b/24/42.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 42 \v 43 \v 44 42 Hivyo nimefika leo kisimani, na nikasema, 'O Yahwe, Mungu wa bwana wangu Abraham, tafadhali, ikiwa kweli umekusudia kuifanya safari yangu kuwa yenye kufanikiwa - 43 tazama niko hapa nimesimama karibu na kisima cha maji - na iwe kwamba binti ajaye kuchota maji, nitakaye mwambia, "Tafadhali unipatie maji kidogom kutoka kwenye mtungi wako ninywe," mwanamke atakaye niambia, 44 "Kunywa, na nitakuchotea pia maji kwa ajili ya ngamia wako" - na awe ndiye ambaye wewe Yahwe, umemchagulia mtoto wa bwana wangu." \ No newline at end of file diff --git a/24/45.txt b/24/45.txt new file mode 100644 index 0000000..0888bf4 --- /dev/null +++ b/24/45.txt @@ -0,0 +1,3 @@ +45 Ikawa hata kabla sijamaliza kuzungumza moyoni mwangu, Tazama, Rebeka akaja na mtungi wake juu ya bega lake akashuka chini kisimani akachota maji. Hivyo nikamwambia, 'Tafadhali nipatie maji ninywe.' 46 Ndipo kwa + +haraka alipoushusha mtungi wake begani mwake na akasema, 'Kunywa, na pia nitawapatia maji ngamia wako.' Kwa hiyo nikanywa, na akawanywesha ngamia pia. \ No newline at end of file