Tue Apr 18 2023 19:39:31 GMT-0700 (Pacific Daylight Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-18 19:39:32 -07:00
parent c3e797d1ad
commit 129c6979b3
4 changed files with 4 additions and 0 deletions

1
36/13.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 13 \v 14 13 Hawa walikuwa wana wa Reueli: Nahathi, Zera, Shama, na Miza. Hawa walikuwa wajukuu wa Basemathi, mkewe Esau. 14 Hawa walikuwa wana wa Oholibama, mkewe Esau, aliyekuwa binti Ana na mjukuu wa Zibeoni. Alimzalia Esau Yeushi, Yalamu, na Kora.

1
36/15.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 15 \v 16 15 Hizi zilikuwa koo kati ya vizazi vya Esau: uzao wa Elifazi, mzaliwa wa kwanza wa Esau: Temani, Omari, Zefo, Kenazi, Kora, 16 Gatamu, na Amaleki. Hivi vilikuwa vizazi vya koo kutoka kwa Elifazi katika nchi ya Edomu. Walikuwa wajukuu wa Ada.

1
36/17.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 17 \v 18 \v 19 17 Hizi zilikuwa koo kutoka kwa Reueli, mwana wa Esau: Nahathi, Zera, Shama, Miza. Hizi zilikuwa koo kutoka kwa Reueli katika nchi ya Edomu. Walikuwa wajukuu wa Basemathi, mkewe Esau. 18 Hizi zilikuwa koo za Oholibama, mkewe Esau: Yeushi, Yalamu, Kora. Hizi ni koo zilizotoka kwa Oholibama mkewe Esau, binti Ana. 19 Hawa walikuwa wana wa Esau na koo zao.

1
36/20.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 20 \v 21 \v 22 20 Hawa walikuwa wana wa Seiri Mhori, wenyeji wa nchi hiyo: Lotani, Shobali, Zibeoni, Ana, 21 Dishoni, Ezeri, na Dishani. Hizi zilikuwa koo the Wahori, wenyeji wa Seiri katika nchi ya Edomu. 22 Wana wa Lotani walikuwa Hori na Hemani, na Timna alikuwa dada wa Lotani.