Tue Apr 18 2023 19:37:30 GMT-0700 (Pacific Daylight Time)
This commit is contained in:
parent
4623e29ad8
commit
c3e797d1ad
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\c 36 \v 1 \v 2 \v 3 1 Hivi ndivyo vizazi vya Esau (aliyeitwa pia Edom). 2 Esau akachukua wakeze kutoka kwa Wakanaani. Hawa walikuwa wake zake: Ada binti Eloni Mhiti; Oholibama binti Ana, mjukuu wa Zibeoni Mhivi; na 3 Basemathi, binti Ishmaeli, dada wa Nebayothi.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 4 \v 5 4 Ada akamzaa Elifazi kwa Esau, na Basemathi akamzaa Reueli. 5 Oholibama akamzaa Yeushi, Yalamu, na Kora. Hawa walikuwa wana wa Esau waliozaliwa kwake katika nchi ya Kanaani.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 6 \v 7 \v 8 6 Esau akawachukua wakeze, wanawe, binti zake, na watu wote wa nyumba yake, mifugo wake - wanyama wake wote, na mali yake yote, aliyokuwa amekusanya katika nchi ya Kanaani, na akaenda katika nchi iliyoko mbali kutoka kwa Yakobo nduguye. 7 Alifanya hivi kwa sababu mali zao zilikuwa nyingi sana kwa wao kuishi pamoja. Nchi waliyokuwa wamekaa isingeweza kuwafaa kwa mifugo yao. 8 Hivyo Esau, aliyejulikana pia kama Edomu, akakaa katika nchi ya kilima Seiri.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 9 \v 10 \v 11 \v 12 9 Hivi ndivyo vizazi vya Esau, babu wa Waedomu katika nchi ya mlima Seiri. 10 Haya yalikuwa majina ya wana wa Esau: Elifazi mwana wa Ada, mkewe Esau; Reueli mwana wa Basemathi, mkewe Esau. 11 Wana wa Elifazi walikuwa Temani, Omari, Zefo, Gatamu, na Kenazi. 12 Timna, suria wa Elifazi, mwana wa Esau, akamzaa Amaleki. Hawa walikuwa wajukuu wa Ada, mkewe Esau.
|
Loading…
Reference in New Issue