Wed Apr 26 2023 15:38:14 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-26 15:38:15 +03:00
parent 88093ec842
commit 99e627a42e
5 changed files with 8 additions and 1 deletions

1
02/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 2 \v 1 Katika mwaka wa pili wa utawala wa Nebukadneza, alikuwa na ndoto. Akili yake ilisumbuka, na hakuweza kulala. \v 2 Ndipo mfalme alipowaita waganga na wale wenye kuongea na wafu. Lakini pia aliwaita wachawi na watu wenye hekima. Aliwataka wamwambie juu ya ndoto zake. Basi walikuja na kusimama mbele za mfalme.

1
02/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Mfalme akawambia, "Nilikuwa na ndoto, na akili yangu ina mashaka nataka kujua ndoto hiyo nini maana yake." \v 4 Kisha watu wenye hekima wakamwambia mfalme katika Kiaramu, " Mfalme, aishi milele! Twambie sisi ndoto, watumishi wako, nasi tutaifunua maana yake."

1
02/05.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 5 Mfalme akawajibu watu wenye hekima, " Jambo hili limeshamalizika. Kama hamtaweza kuiweka wazi ndoto kwangu na kuitafsiri, miili yenu itakatwa vipande vipande na nyumba zenu zitafanywa kuwa vichuguu vya uchafu. \v 6 Lakini kama mtaniambia ndoto na maana yake, mtapokea zawadi kutoka kwangu, thawabu, na heshima kubwa. Basi niambieni ndoto na maana yake."

1
02/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\ 7 Wakamjibu tena na kusema, "Mfalme na atuambie, watumishi wake, ndoto nasi tukwambia maana yake." 8 Mfalme akawajibu, " Ninajua kwa hakika mnahitaji muda zaidi kwa sababu mmeona maamuzi yangu ni magumu kuhusu jambo hili. 9 Lakini kama hamtaweza

View File

@ -46,6 +46,9 @@
"01-14",
"01-17",
"01-19",
"02-title"
"02-title",
"02-01",
"02-03",
"02-05"
]
}