Wed Apr 26 2023 15:36:14 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-26 15:36:15 +03:00
parent 3f1c2acc86
commit 88093ec842
5 changed files with 9 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 16 \v 14 Hivyo msimamizi alikubaliana naye kufanya hivi, na aliwajaribu kwa siku kumi. \v 15 Katika mwisho wa siku kumi mwonekano wao ulikuwa ni wenye afya nzuri kuliko wa wale vijana waliokula vyakula vya kifalme. 16 Basi, msimamizi aliliondoa fungu lao la chakula na vivywaji vyao na walipewa mboga tu. 17 Na kuhusu vijana hawa nne Mungu aliwapa uelewa na ufahamu katika maandiko yote na hekima, na Danieli aliweza kupambanua aina zote za maono na ndoto. 18 Katika mwisho wa muda uliokuwa umepangwa na mfalme kuwaleta ndani, afisa mkuu aliwaleta mbele ya Nebukadneza. 19 Mfalme aliongea nao, na miongoni mwa kundi lote hapo hapakuwa na wa kuwalinganisha na akina Danieli, Hanania, Mishaeli, na Azaria. Walisimama mbele ya mfalme, wakiwa tayari kumtumikia. 20 Katika kila swali la hekima na ufahamu ambalo mfalme aliwauliza, aliwakuta wakiwa na uwezo mara kumi kuliko waganga wote na wale waliojidai kusema na wafu, waliokuwa katika ufalme wake wote. 21 Danieli alikuwa hapo mpaka mwaka wa kwanza wa Mfalme Koreshi.
\v 14 Hivyo msimamizi alikubaliana naye kufanya hivi, na aliwajaribu kwa siku kumi. \v 15 Katika mwisho wa siku kumi mwonekano wao ulikuwa ni wenye afya nzuri kuliko wa wale vijana waliokula vyakula vya kifalme. \v 16 Basi, msimamizi aliliondoa fungu lao la chakula na vivywaji vyao na walipewa mboga tu.

1
01/17.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 17 Na kuhusu vijana hawa nne Mungu aliwapa uelewa na ufahamu katika maandiko yote na hekima, na Danieli aliweza kupambanua aina zote za maono na ndoto. \v 18 Katika mwisho wa muda uliokuwa umepangwa na mfalme kuwaleta ndani, afisa mkuu aliwaleta mbele ya Nebukadneza.

1
01/19.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 19 Mfalme aliongea nao, na miongoni mwa kundi lote hapo hapakuwa na wa kuwalinganisha na akina Danieli, Hanania, Mishaeli, na Azaria. Walisimama mbele ya mfalme, wakiwa tayari kumtumikia. \v 20 Katika kila swali la hekima na ufahamu ambalo mfalme aliwauliza, aliwakuta wakiwa na uwezo mara kumi kuliko waganga wote na wale waliojidai kusema na wafu, waliokuwa katika ufalme wake wote. \v 21 Danieli alikuwa hapo mpaka mwaka wa kwanza wa Mfalme Koreshi.

1
02/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 2

View File

@ -42,6 +42,10 @@
"01-03",
"01-06",
"01-08",
"01-11"
"01-11",
"01-14",
"01-17",
"01-19",
"02-title"
]
}