Wed Apr 26 2023 13:37:58 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
4f015e06e9
commit
07904a77fb
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 16 16 Wale watu wakatoka nje na wakaziteka nyara zile kambi za Washami. Hivyo kipimo cha unga mzuri uliuzwa kwa shekeli moja, na vipimo viwili vya shayiri kwa shekeli moja, kama vile ambavyo neno la BWANA lilivyosema. \v 17 17 Naye mfalme alimwagiza yule akida ambaye alitegemea mkono wake kuwa mkuu wa lango, na watu wakamkanyaga chini langoni. Alikufa kama mtu wa Mungu alivyosema, ambaye ameongea wakati yule mfalme alipomshukia.
|
||||
\v 16 Wale watu wakatoka nje na wakaziteka nyara zile kambi za Washami. Hivyo kipimo cha unga mzuri uliuzwa kwa shekeli moja, na vipimo viwili vya shayiri kwa shekeli moja, kama vile ambavyo neno la BWANA lilivyosema. \v 17 Naye mfalme alimwagiza yule akida ambaye alitegemea mkono wake kuwa mkuu wa lango, na watu wakamkanyaga chini langoni. Alikufa kama mtu wa Mungu alivyosema, ambaye ameongea wakati yule mfalme alipomshukia.
|
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 18 18 Basi ikatokea kama yule mtu wa Mungu alivyosema kwa mfalme akisema, "Muda kama huu kwenye lango la Samaria, vipimo viwili vya shayiri vitapatikana kwa shekeli, na kipimo cha unga mzuri kwa shekeli." \v 19 19 Yule akida alimjibu yule mtu wa Mungu na kusema, "Tazama, hata kama BWANA angefanya madirisha mbinguni, je hiki kitu kingeweza kutokea" Elisha akasema, "Tazama, utaona kikitokea kwa macho yako mwenyewe, lakini hutakula chochote katika hicho." \v 20 20 Hivyo ndivyo haswa kilichompata, kwa kuwa watu wakamkanyaga kwenye lango, na kufa.
|
||||
\v 18 Basi ikatokea kama yule mtu wa Mungu alivyosema kwa mfalme akisema, "Muda kama huu kwenye lango la Samaria, vipimo viwili vya shayiri vitapatikana kwa shekeli, na kipimo cha unga mzuri kwa shekeli." \v 19 Yule akida alimjibu yule mtu wa Mungu na kusema, "Tazama, hata kama BWANA angefanya madirisha mbinguni, je hiki kitu kingeweza kutokea" Elisha akasema, "Tazama, utaona kikitokea kwa macho yako mwenyewe, lakini hutakula chochote katika hicho." \v 20 Hivyo ndivyo haswa kilichompata, kwa kuwa watu wakamkanyaga kwenye lango, na kufa.
|
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\c 8 \v 1 1 Basi, Elisha alikuwa amemwambia yule mwanamke ambaye alimfufulia mtoto wake. Akamwambia, "Inuka na uende pamoja na nyumba yako, na uishi popote uwezapo katika nchi nyingine, kwa sababu BWANA ameiita njaa ambayo itakuja katika hii nchi kwa miaka saba." \v 2 2 Basi yule mwanamke akainuka na akatii lile neno la mtumishi wa Mungu. Akaenda na nyumba yake na kuishi kwenye nchi ya Wafilisti miaka saba.
|
||||
\c 8 \v 1 Basi, Elisha alikuwa amemwambia yule mwanamke ambaye alimfufulia mtoto wake. Akamwambia, "Inuka na uende pamoja na nyumba yako, na uishi popote uwezapo katika nchi nyingine, kwa sababu BWANA ameiita njaa ambayo itakuja katika hii nchi kwa miaka saba." \v 2 Basi yule mwanamke akainuka na akatii lile neno la mtumishi wa Mungu. Akaenda na nyumba yake na kuishi kwenye nchi ya Wafilisti miaka saba.
|
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 3 3 Ikafika kama mwishoni mwa miaka saba yule mwanamke akarudi kutoka kwenye ile nchi ya Wafilisti, na kwenda kwa mfalme kumuomba nyumba yake na kwa ajili ya nchi yake. \v 4 4 Basi mfalme alikuwa anaongea na Gehazi yule mtumishi wa Mungu, akisema, "Tafadhali niambie yale mambo makubwa ambayo Elisha ameyafanya."
|
||||
\v 3 Ikafika kama mwishoni mwa miaka saba yule mwanamke akarudi kutoka kwenye ile nchi ya Wafilisti, na kwenda kwa mfalme kumuomba nyumba yake na kwa ajili ya nchi yake. \v 4 4 Basi mfalme alikuwa anaongea na Gehazi yule mtumishi wa Mungu, akisema, "Tafadhali niambie yale mambo makubwa ambayo Elisha ameyafanya."
|
Loading…
Reference in New Issue