From 07904a77fb543e07790d618def38d207d629b7e1 Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: tsDesktop Date: Wed, 26 Apr 2023 13:38:00 +0300 Subject: [PATCH] Wed Apr 26 2023 13:37:58 GMT+0300 (East Africa Time) --- 07/16.txt | 2 +- 07/18.txt | 2 +- 08/01.txt | 2 +- 08/03.txt | 2 +- 4 files changed, 4 insertions(+), 4 deletions(-) diff --git a/07/16.txt b/07/16.txt index fd9fe5b..f865dda 100644 --- a/07/16.txt +++ b/07/16.txt @@ -1 +1 @@ -\v 16 16 Wale watu wakatoka nje na wakaziteka nyara zile kambi za Washami. Hivyo kipimo cha unga mzuri uliuzwa kwa shekeli moja, na vipimo viwili vya shayiri kwa shekeli moja, kama vile ambavyo neno la BWANA lilivyosema. \v 17 17 Naye mfalme alimwagiza yule akida ambaye alitegemea mkono wake kuwa mkuu wa lango, na watu wakamkanyaga chini langoni. Alikufa kama mtu wa Mungu alivyosema, ambaye ameongea wakati yule mfalme alipomshukia. \ No newline at end of file +\v 16 Wale watu wakatoka nje na wakaziteka nyara zile kambi za Washami. Hivyo kipimo cha unga mzuri uliuzwa kwa shekeli moja, na vipimo viwili vya shayiri kwa shekeli moja, kama vile ambavyo neno la BWANA lilivyosema. \v 17 Naye mfalme alimwagiza yule akida ambaye alitegemea mkono wake kuwa mkuu wa lango, na watu wakamkanyaga chini langoni. Alikufa kama mtu wa Mungu alivyosema, ambaye ameongea wakati yule mfalme alipomshukia. \ No newline at end of file diff --git a/07/18.txt b/07/18.txt index b54a70f..16e8e7b 100644 --- a/07/18.txt +++ b/07/18.txt @@ -1 +1 @@ -\v 18 18 Basi ikatokea kama yule mtu wa Mungu alivyosema kwa mfalme akisema, "Muda kama huu kwenye lango la Samaria, vipimo viwili vya shayiri vitapatikana kwa shekeli, na kipimo cha unga mzuri kwa shekeli." \v 19 19 Yule akida alimjibu yule mtu wa Mungu na kusema, "Tazama, hata kama BWANA angefanya madirisha mbinguni, je hiki kitu kingeweza kutokea" Elisha akasema, "Tazama, utaona kikitokea kwa macho yako mwenyewe, lakini hutakula chochote katika hicho." \v 20 20 Hivyo ndivyo haswa kilichompata, kwa kuwa watu wakamkanyaga kwenye lango, na kufa. \ No newline at end of file +\v 18 Basi ikatokea kama yule mtu wa Mungu alivyosema kwa mfalme akisema, "Muda kama huu kwenye lango la Samaria, vipimo viwili vya shayiri vitapatikana kwa shekeli, na kipimo cha unga mzuri kwa shekeli." \v 19 Yule akida alimjibu yule mtu wa Mungu na kusema, "Tazama, hata kama BWANA angefanya madirisha mbinguni, je hiki kitu kingeweza kutokea" Elisha akasema, "Tazama, utaona kikitokea kwa macho yako mwenyewe, lakini hutakula chochote katika hicho." \v 20 Hivyo ndivyo haswa kilichompata, kwa kuwa watu wakamkanyaga kwenye lango, na kufa. \ No newline at end of file diff --git a/08/01.txt b/08/01.txt index 7b535ba..5858480 100644 --- a/08/01.txt +++ b/08/01.txt @@ -1 +1 @@ -\c 8 \v 1 1 Basi, Elisha alikuwa amemwambia yule mwanamke ambaye alimfufulia mtoto wake. Akamwambia, "Inuka na uende pamoja na nyumba yako, na uishi popote uwezapo katika nchi nyingine, kwa sababu BWANA ameiita njaa ambayo itakuja katika hii nchi kwa miaka saba." \v 2 2 Basi yule mwanamke akainuka na akatii lile neno la mtumishi wa Mungu. Akaenda na nyumba yake na kuishi kwenye nchi ya Wafilisti miaka saba. \ No newline at end of file +\c 8 \v 1 Basi, Elisha alikuwa amemwambia yule mwanamke ambaye alimfufulia mtoto wake. Akamwambia, "Inuka na uende pamoja na nyumba yako, na uishi popote uwezapo katika nchi nyingine, kwa sababu BWANA ameiita njaa ambayo itakuja katika hii nchi kwa miaka saba." \v 2 Basi yule mwanamke akainuka na akatii lile neno la mtumishi wa Mungu. Akaenda na nyumba yake na kuishi kwenye nchi ya Wafilisti miaka saba. \ No newline at end of file diff --git a/08/03.txt b/08/03.txt index 5f18441..ba96888 100644 --- a/08/03.txt +++ b/08/03.txt @@ -1 +1 @@ -\v 3 3 Ikafika kama mwishoni mwa miaka saba yule mwanamke akarudi kutoka kwenye ile nchi ya Wafilisti, na kwenda kwa mfalme kumuomba nyumba yake na kwa ajili ya nchi yake. \v 4 4 Basi mfalme alikuwa anaongea na Gehazi yule mtumishi wa Mungu, akisema, "Tafadhali niambie yale mambo makubwa ambayo Elisha ameyafanya." \ No newline at end of file +\v 3 Ikafika kama mwishoni mwa miaka saba yule mwanamke akarudi kutoka kwenye ile nchi ya Wafilisti, na kwenda kwa mfalme kumuomba nyumba yake na kwa ajili ya nchi yake. \v 4 4 Basi mfalme alikuwa anaongea na Gehazi yule mtumishi wa Mungu, akisema, "Tafadhali niambie yale mambo makubwa ambayo Elisha ameyafanya." \ No newline at end of file