Fri Sep 01 2023 19:52:26 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
embraceswahilibiblereview 2023-09-01 19:52:26 +03:00
parent 6611e61eab
commit 1340958349
5 changed files with 9 additions and 1 deletions

1
05/05.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 5 Vilevile, nanyi vijana wadogo, nyenyekeni kwa wakubwa wenu. Ninyi nyote, uvaeni unyenyekevu na kuhudumiana ninyi kwa ninyi, kwani Mungu huwapinga wenye kiburi, lakini huwapa neema wanyenyekevu. \v 6 Kwa hiyo nyenyekeni chini ya mkono wa Mungu uliyo hodari ili kwamba awainue kwa wakati wake. \v 7 Mwekeeni fadhaa zenu juu yake, kwa sababu anawajali.

1
05/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Iweni na busara, iweni waangalifu. Yule adui yenu, ibilisi, kama simba aungurumaye ananyatia, akisaka mtu wa kumrarua. \v 9 Simameni kinyume chake. Kuweni na nguvu katika imani yenu. Mkijua kwamba ndugu zenu walioko ulimwenguni wanapitia mateso kama hayo.

1
05/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 Baada ya kuteseka kwa muda kitambo, Mungu wa neema yote, aliyewaita katika utukufu wa milele ndani ya Kristo, atawakamilisha, atawaimarisha na kuwatia nguvu. \v 11 Enzi iwe kwake milele na milele. Amina.

1
05/12.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 12 Namthamini Silwano kama ndugu mwaminifu, na nimewaandikia ninyi kwa ufupi kupitia kwake. Ninawatia moyo na ninashuhudia kwamba nilichokiandika ni neema ya kweli ya Mungu. Simameni ndani yake. \v 13 Waamini waliloko Babeli, waliochaguliwa pamoja nanyi, wanawasalimu, na Marko mwanangu, anawasalimu. \v 14 Salimianeni kila mmoja kwa busu la upendo. Na amani iwe kwenu mliondani ya Kristo.

View File

@ -80,6 +80,10 @@
"04-15",
"04-17",
"05-title",
"05-01"
"05-01",
"05-05",
"05-08",
"05-10",
"05-12"
]
}