Fri Sep 01 2023 19:50:33 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
embraceswahilibiblereview 2023-09-01 19:50:33 +03:00
parent accb4cfdde
commit 6611e61eab
5 changed files with 10 additions and 1 deletions

1
04/15.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 15 Lakini asiwepo yeyote mwenye kuteswa kama muuaji, mwizi, mtenda maovu, au ajishughulishaye na mambo ya wengine. \v 16 Lakini ikiwa mtu anateswa kama Mkristo, asione aibu, bali amtukuze Mungu katika jina hilo.

1
04/17.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 17 Kwa kuwa wakati umefika kwa hukumu kuanzia katika nyumba ya Mungu. Na kama inaanzia kwetu, itakuwaje kwa wale wasioitii injili ya Mungu? \v 18 Na kama "mwenye haki anaokolewa kupitia magumu, itakuwaje kwa mtu asiyehaki na mwenye dhambi?" \v 19 Kwa hiyo wote wanaoteseka kutokana na mapenzi ya Mungu wakabidhi nafsi zao kwa Muumba mwaminifu ili hali wakitenda mema.

1
05/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 5 \v 1 Ninawasihi wazee waliomo miongoni mwenu, mimi, niliye mzee mwenzao na shahidi wa mateso ya Kristo, na ambaye vile vile ni mshirika katika utukufu utakaodhihirika. \v 2 Kwa hiyo, ninawatia moyo ninyi wazee, lichungeni kundi la Mungu lililo miongoni mwenu. Liangalieni, sio kwa sababu mnapaswa, lakini kwa sababu mnatamani hivyo, kulingana na Mungu. Liaangalieni, sio kwa kupenda pesa za aibu, lakini kwa kupenda. \v 3 Msijifanye mabwana juu ya watu waliyochini ya uangalizi wenu, lakini iweni mfano katika kundi. \v 4 Pale Mchungaji Mkuu atakapodhihirishwa, mtaipokea taji ya utukufu isiyopoteza uthamani wake.

1
05/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 5

View File

@ -75,6 +75,11 @@
"04-01",
"04-03",
"04-07",
"04-10"
"04-10",
"04-12",
"04-15",
"04-17",
"05-title",
"05-01"
]
}