Mon Apr 24 2023 18:02:07 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
9640cf4112
commit
d097bdf967
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 13 \v 14 \v 15 13 Yule mjumbe aliyeenda kumwita Mikaya akamwambia, akisema, "Tazama sasa, maneno ya manabii kwa kinywa kimoja wanatabiri mambo mema kwa mfalme. Tafadhali maneno yako yawe kama yao ukaseme mambo mazuri." 14 Mikaya akajibu, "Kama BWANA aishivyo, kile BWANA atakachosema kwangu ndicho nitakachosema.'" 15 Naye alipokuja kwa mfalme, mfalme akamwambia, "Mikaya, je twende Ramothi Gileadi kupigana, au tusiende?" Mikaya akamjibu, "Ivamie na ushinde. BWANA ataitoa kwenye mkono wa mfalme."
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 16 \v 17 16 Kisha mfalme akamwambia. "Je, nikutake mara ngapi ili kuniapia ukweli kwa jina la BWANA?" 17 Mikaya akasema, "Ninaiona Israeli yote imesambaa kwenye milima, kama kondoo wasiokuwa na mchungaji, na BWANA amesema, 'Hawa hawana mchungaji. Kila mtu na arudi nyumbani kwake kwa amani.'"
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 18 \v 19 \v 20 18 Kwa hiyo mfalme wa Israeli akamwambia Yehoshafati, "Je sikukwambia kuwa huwa hanitabirii mambo mema yanayonihusu, ila majanga tu?" 19 Kisha Mikaya akasema, "Kwa hiyo sikiliza neno la BWANA: Nimemwona BWANA akiwa ameketi kwenye kiti chake cha enzi, na majeshi yote ya mbinguni yalikuwa yamesimama karibu yake upande wake wa kulia na upande wake wa kushoto. 20 BWANA akasema, 'Ni nani atakayemdanganya Ahabu, ili kwamba apande akafie Ramothi Gileadi? Na mtu mmoja akajibu kwa njia hii, na mwingine akajibu kwa njia ile.
|
Loading…
Reference in New Issue