Mon Apr 24 2023 18:00:03 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-24 18:00:05 +03:00
parent 696439a553
commit 9640cf4112
3 changed files with 4 additions and 0 deletions

2
22/05.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1,2 @@
\v 5 \v 6 5 Yehoshafati akamwambia mfalme wa Israeli, "Tafadhali tafuta mwongozo kutoka neno la BWANA juu ya kile unachopaswa kufanya kwanza."
6 Ndipo mfalme wa Israeli akawakusanya manabii pamoja, walikuwa wanaume elfu nne, akawaambia, "Je, niende Ramothi Gileadi kupigana, au nisiende?" Nao wakamwambia, "Ivamie, kwa kuwa Bwana ataitoa katika mkono wa mfalme."

1
22/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 \v 8 \v 9 7 Lakini Yehoshafati akasema, "Je, hapa hayupo nabii mwingine wa BWANA ambaye tunaweza kupata ushauri?" 8 Mfalme wa Israeli akamwambia Yehoshafati, "Bado kuna mtu mmoja ambaye tunaweza kupata ushauri toka kwa BWANA ili kusaidia, Mikaya mwana wa Imla, lakini namchukia kwa sababu huwa hanitabirii mazuri yanayonihusu, ila hunitabiria matatizo tu." Lakini Yehoshafati akasema, "mfalme na asiseme hivyo," 9 Kisha mfalme wa Israeli akamwita akida na akamwamuru, "Kamlete Mikaya mwana wa Imla, sasa hivi."

1
22/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 \v 11 \v 12 10 Wakati huo Ahabu mfalme wa Israeli na Yehoshafati mfalme wa Yuda walikuwa wameketi kila mmoja kwenye kiti cha enzi, wamevaa mavazi yao, katika eneo la wazi kwenye lango la kuingilia Samaria, na manabii walikuwa wakiwatabiria. 11 Sedekia mwana wa Kenaana akajitengenezea pembe za chuma akasema, "BWANA asema hivi: 'Kwa hili utawasukuma Washami mpaka watakapoisha.'" 12 Na manabii wengine wote wakasema hivyo, wakisema, "Ishambulie Ramothi Gileadi na ushinde, kwa kuwa BWANA ameiweka kwenye mkono wa mfalme."