Fri Sep 01 2023 20:07:44 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
embraceswahilibiblereview 2023-09-01 20:07:44 +03:00
parent cf62fec726
commit 2b1dc9d05a
6 changed files with 11 additions and 1 deletions

1
01/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Kama tukisema hatuna dhambi, twajidanganya wenyewe, na kweli haimo ndani yetu. \v 9 Lakini tukiziungama dhambi zetu, yeye ni mwaminifu na haki kutusamehe dhambi zetu na kututakasa na uovu wote. \v 10 Tukisema kwamba hatujatenda dhambi, twamfanya yeye kuwa muongo, na neno lake halimo ndani yetu.

1
02/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 2 \v 1 Watoto wangu wapendwa, nawaandikia mambo haya kwenu ili msitende dhambi. Lakini kama mmoja wenu akitenda dhambi, tunaye wakili aliye pamoja na Baba, Yesu Kristo- ambaye ni mwenye haki. \v 2 Yeye ni mpatanishi kwa dhambi zetu, na si kwa dhambi zetu pekee, lakini pia kwa ulimwengu mzima. \v 3 Kwa hili twajua kwamba twamjua yeye, kama tukizitunza amri zake.

1
02/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 4 Yeye asemaye, "Namjua Mungu," lakini hazishiki amri zake, ni mwongo, na kweli haimo ndani yake. \v 5 Lakini yeyote ashikaye neno lake, kweli katika mtu yule upendo wa Mungu umekamilishwa. Katika hili twajua kwamba tuko ndani yake. \v 6 Yeye asemaye anaishi ndani ya Mungu inampasa yeye mwenyewe pia kutembea kama vile Yesu Kristo alivyotembea.

1
02/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 Wapenzi, siwaandikii ninyi amri mpya, bali amri ya zamani ambayo mmekwisha kuwa nayo tangu mwanzo. Amri ya zamani ni neno ambalo mlilolisikia. \v 8 Hata hivyo ninawaandikia ninyi amri mpya, ambayo ni kweli katika Kristo na kwenu, kwa sababu giza linapita, na nuru ya kweli iko tayari inaangaza

1
02/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 2

View File

@ -40,6 +40,11 @@
"01-title",
"01-01",
"01-03",
"01-05"
"01-05",
"01-08",
"02-title",
"02-01",
"02-04",
"02-07"
]
}