Fri Sep 01 2023 20:05:43 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
f300d6a29e
commit
cf62fec726
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\c 1 \v 1 Kile tulichokiona tangu mwanzo, kile tulichokisikia, kile tulichokiona kwa macho yetu, kile tulichokitazama, na mikono yetu imekishika kuhusu Neno la uzima. \v 2 Na ule uzima ulifanywa kujulikana wazi na tumeuona, na kuushuhudia, na kuwatangazia uzima wa milele, ambao ulikuwako kwa Baba na ulifanywa kujulikana kwetu.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 3 Kile tulichokiona na kukisikia twakitangaza kwenu, ili kwamba muweze kujumuika pamoja nasi, na ushirika wetu pamoja na Baba na Mwanae Yesu Kristo. \v 4 Na tunawaandikia mambo haya ninyi ili kwamba furaha yetu iwe timilifu.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 5 Huu ndio ujumbe tuliousikia kutoka kwake na kuwatangazia ya kwamba Mungu ni nuru na ndani yake hakuna giza hata kidogo. \v 6 Kama tukisema kwamba tunaushirika naye na twatembea gizani, twadanganya na hatutendi kweli. \v 7 Lakini tukitembea katika nuru kama alivyo yeye nuruni, Twashirikiana sisi kwa sisi, na damu ya Yesu Kristo, mwanae yatutakasa kutoka dhambini.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
Sura 1
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
1 Yohana
|
|
@ -32,6 +32,14 @@
|
|||
}
|
||||
],
|
||||
"parent_draft": {},
|
||||
"translators": [],
|
||||
"finished_chunks": []
|
||||
"translators": [
|
||||
"embraceswahilibiblereview"
|
||||
],
|
||||
"finished_chunks": [
|
||||
"front-title",
|
||||
"01-title",
|
||||
"01-01",
|
||||
"01-03",
|
||||
"01-05"
|
||||
]
|
||||
}
|
Loading…
Reference in New Issue