Compare commits

...

10 Commits

14 changed files with 34 additions and 6 deletions

1
29/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Sasa, kwa sababu ya mapenzi yangu kwa nyumba ya Mungu, ninatoa hazina yangu binafsi ya dhahabu na fedha. Ninafanya hivi kwa nyongeza kwa yote niliyofanya katika hekalu takatifu: \v 4 talanta za dhahabu elfu tatu kutoka Ofiri, na talanta elfu saba za fedha zilizotakasika, ili kufunika kuta za majengo. \v 5 Ninachangia dhahabu kwa vitu vya kutengenezwa na dhahabu, na fedha kwa vitu vya kutengenezwa na fedha, na vitu vya kazi zote zinazotakiwa kufanywa na mafundi. Nani mwingine anataka kuchangia kwa Yahweh leo na kujitoa kwake?"

1
29/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 Kisha sadaka za hiari zilitolewa na viongozi wa mababu wa familia zao, viongozi wa makabila ya Israeli, wakuu wa maelfu na mamia, na waamuzi walio juu ya kazi ya mfalme. \v 7 Walitoa kwa ajili ya huduma ya nyumba ya Mungu talanta elfu tano na darkoni elfu kumi za dhahabu, talanta elfu kumi za fedha, talanta elfu kumi na nane za shaba, na talanta za chuma 100, 000.

1
29/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Hao walio na mawe ya thamani waliyatoa katika Hazina ya nyumba Yahweh, chini ya usimamizi wa Yehieli, mzao wa Gerishoni. \v 9 Watu walifurahi kwa ajili ya hizi sadaka za hiari, kwa sababu walitoa kwa moyo wao wote kwa Yahweh. Mfalme Daudi pia alifurahi sana.

1
29/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 Daudi alimbariki Yahweh mbele ya kusanyiko lote. Alisema, "Na uabudiwe, Yahweh, Mungu wa Israeli babu wetu, milele na milele. \v 11 Kwako, Yahweh, kuna ukuu, nguvu, utukufu, ushindi, na enzi. Kwa kuwa yote yalio mbinguni na duniani ni yako. Kwako ni ufalme, Yahweh, na umetukuzwa kama mtawala juu ya vyote.

1
29/12.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 12 Utajiri na heshima hutoka kwako, na unatawala juu ya watu wote. Mkononi mwako kuna nguvu na uwezo. Unao uweza na nguvu ya kuwafanya watu kuwa mkuu na kumpa uweza yeyote. \v 13 Kisha sasa, Mungu wetu, tunakushukuru na kusifu jina lako tukufu.

1
29/14.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 14 Lakini mimi ni nani, na watu wangu ni nani, hata tuwe na uwezo wa kutoa vitu hivi kwa hiari hivi? Hakika kila kitu kimetoka kwako, na tumerundisha kilicho chako \v 15 Kwa maana sisi tu wageni na wapanganji mbele yako, kama babu zetu wote walivyokuwa. Siku zetu katika dunia ni kama kivuli, na hakuna tumaini la kubaki duniani.

1
29/16.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 16 Yahweh Mungu wetu, utajiri huu wote tulio kusanya ili kujenga hekalu kwa kuheshimu jina lako - watoka kwako na ni wako. \v 17 Nijua pia,Mungu wangu, ya kuwa wewe wauchunguza moyo na kuufurahia unyofu. Kwangu mimi, kwa unyofu wa moyo wangu nimetoa kwa hiari vitu hivi vyote, na sasa natazama kwa furaha watu wako waliopo hapa wakitoa zawadi kwa hiari kwako.

1
29/18.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 18 Yahweh, Mungu wa Ibrahimu, Isaka, na Israeli - mababu zetu - hifadhi hili katika fikra za watu wako. Elekeza mioyo yao kwako. \v 19 Mjalie Sulemani mwanangu moyo mkamilifu ili azishike amri zako, na amri zako za maagano, na sheria zako, na atekeleze mipango hii yote ya kuijenga jumba hili ya kifalme niliyoiandaa."

2
29/20.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1,2 @@
\v 20 Daudi akasema kwa kusanyiko lote, "Sasa mbariki Yahweh Mungu wenu." Kusanyiko lote
likambariki Yahweh, Munug wa mababu zao, wakainamisha vichwa vyao na kumuabudu Yahweh na kusujudu mbele za mfalme. \v 21 Kwa siku iliyo fuata, wakatoa dhabiu kwa Yahweh na kumtolea sadaka ya kuteketeza. Walitoa sadaka ya fahali elfu moja, kondoo dume elfu moja, na wana-kondoo elfu moja, pamoja na sadaka zao za vinywaji na dhabihu tele kwa Israeli yote.

1
29/22.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 22 Siku ile, walikula na kunywa mbele za Yahweh kwa furaha kubwa. Walimfanya Sulemani, mwana wa Daudi, mfalme mara ya pili, na kum mafuta kwa mamlaka ya Yahweh kuwa mtawala. Pia walimpaka mafuta Zadoki kuwa kuhani. \v 23 Kisha Sulemani akaketi kwenye kiti cha enzi cha Yahweh kama mfalme mahali pa Daudi baba yake. Alifanikiwa, na Israeli yote ikamtii.

1
29/24.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 24 Viongozi wote, wanajeshi, na wana wa Mfalme Daudi wakatoa utii kwa Mfalme Sulemani. \v 25 Yahweh alimheshimu sana Sulemani na akampa ukuu wa kifalme kuliko mfalme yeyote aliyetangulia kabla yake Israeli.

1
29/26.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 26 Daudi mwana wa Yese alitawala juu ya Israeli yote. \v 27 Daudi alikuwa mfalme wa Israeli kwa miaka arobaini. Alitawala kwa miaka saba Hebroni na miaka thelathini na tatu Yerusalemu. \v 28 Alikufa katika uzee mwema, baada ya kufurahia maisha marefu, mali na heshima. Sulemani mwanawe alitawala baada yake.

1
29/29.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 29 Mafanikio ya mfalme Daudi yameandikwa katika historia ya Samweli nabii, katika historia ya Nathani nabii, na katika historia ya Gadi nabii. \v 30 Yaliyo andikwa hapo ni matendo ya utawala wake, nguvu zake na matukio yaliyompata yeye, israelI, na falme zote za nchi nyingine.

View File

@ -1,9 +1,9 @@
{
"package_version": 6,
"package_version": 7,
"format": "usfm",
"generator": {
"name": "ts-desktop",
"build": "27"
"build": "195"
},
"target_language": {
"id": "sw",
@ -19,15 +19,15 @@
"name": "Text"
},
"resource": {
"id": "reg",
"name": "Regular"
"id": "ulb",
"name": "Unlocked Literal Bible"
},
"source_translations": [
{
"language_id": "sw",
"resource_id": "ulb",
"checking_level": "3",
"date_modified": "2021-10-26T13:25:07.5749396+00:00",
"date_modified": "2023-05-11T16:03:49.0518351+00:00",
"version": "7.6"
}
],
@ -407,6 +407,20 @@
"28-16",
"28-18",
"28-20",
"29-title"
"29-title",
"29-01",
"29-03",
"29-06",
"29-08",
"29-10",
"29-12",
"29-14",
"29-16",
"29-18",
"29-20",
"29-22",
"29-24",
"29-26",
"29-29"
]
}