Thu Apr 27 2023 11:12:56 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
11fac160a3
commit
94514047a4
|
@ -1 +1 @@
|
|||
24 Viongozi wote, wanajeshi, na wana wa Mfalme Daudi wakatoa utii kwa Mfalme Sulemani.\v 25 Yahweh alimheshimu sana Sulemani na akampa ukuu wa kifalme kuliko mfalme yeyote aliyetangulia kabla yake Israeli.
|
||||
\v 24 Viongozi wote, wanajeshi, na wana wa Mfalme Daudi wakatoa utii kwa Mfalme Sulemani. \v 25 Yahweh alimheshimu sana Sulemani na akampa ukuu wa kifalme kuliko mfalme yeyote aliyetangulia kabla yake Israeli.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 26 Daudi mwana wa Yese alitawala juu ya Israeli yote. \v 27 Daudi alikuwa mfalme wa Israeli kwa miaka arobaini. Alitawala kwa miaka saba Hebroni na miaka thelathini na tatu Yerusalemu. \v 28 Alikufa katika uzee mwema, baada ya kufurahia maisha marefu, mali na heshima. Sulemani mwanawe alitawala baada yake.
|
|
@ -418,6 +418,8 @@
|
|||
"29-16",
|
||||
"29-18",
|
||||
"29-20",
|
||||
"29-22"
|
||||
"29-22",
|
||||
"29-24",
|
||||
"29-26"
|
||||
]
|
||||
}
|
Loading…
Reference in New Issue