Sun Oct 11 2020 18:19:20 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest)

This commit is contained in:
tsDesktop 2020-10-11 18:19:21 +01:00
parent dc8058e976
commit f65c8db785
4 changed files with 5 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 4 \v 5 Wanafunga mizigo mizito na kuibebesha watu wengine kwa mabega, lakini wao wenyewe hawafikiri hata kidogo juu ya namna ya kuwasaidia kuibeba. 5 Wanafanya matendo yao yote tu kusudi wajionyeshe mbele ya watu. Wanajifungia kwa paji za nyuso vibweta vipana vyenye vikaratasi vya Maandiko Matakatifu. Nao wanavaa kanzu zenye pembe ndefua
\v 4 Wanafunga mizigo mizito na kuibebesha watu wengine kwa mabega, lakini wao wenyewe hawafikiri hata kidogo juu ya namna ya kuwasaidia kuibeba. \v 5 Wanafanya matendo yao yote tu kusudi wajionyeshe mbele ya watu. Wanajifungia kwa paji za nyuso vibweta vipana vyenye vikaratasi vya Maandiko Matakatifu. Nao wanavaa kanzu zenye pembe ndefua

1
23/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 Wanapenda kuikaa kwenye nafasi za heshima katika karamu na katika viti vya mbele ndani ya nyumba za kuabudia. \v 7 Wanapenda vilevile kusalimiwa kwa heshima kwenye nafasi za makutano, na kuitwa Mwalimu.

1
23/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Lakini ninyi musikubali kuitwa Mwalimu, kwa maana ninyi wote ni wandugu, nanyi muko na Mwalimu mmoja tu. \v 9 Vilevile hapa katika dunia musimwite mtu yeyote Baba kwa maana muko na Baba mmoja tu, anayekuwa mbinguni. \v 10 Musikubali kuitwa Waongozi, kwa maana muko na Mwongozi Mkubwa mmoja tu, ndiye Kristo.

View File

@ -364,6 +364,8 @@
"22-45",
"23-title",
"23-01",
"23-04",
"23-06",
"24-title",
"24-01",
"24-03",