Sun Oct 11 2020 18:17:20 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest)

This commit is contained in:
tsDesktop 2020-10-11 18:17:21 +01:00
parent 5923eb83e4
commit dc8058e976
3 changed files with 3 additions and 0 deletions

1
23/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 23 \v 1 Halafu Yesu akawaambia makundi ya watu na wanafunzi wake: \v 2 Walimu wa Sheria na Wafarisayo wamepewa madaraka ya kueleza Sheria ya Musa. \v 3 Basi kwa hiyo munapaswa kuwatii na kushika maneno yote wanayowaambia; lakini musifuate matendo yao, kwa maana mambo wanayoyasema, si ndiyo wanayofanya.

1
23/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 4 \v 5 Wanafunga mizigo mizito na kuibebesha watu wengine kwa mabega, lakini wao wenyewe hawafikiri hata kidogo juu ya namna ya kuwasaidia kuibeba. 5 Wanafanya matendo yao yote tu kusudi wajionyeshe mbele ya watu. Wanajifungia kwa paji za nyuso vibweta vipana vyenye vikaratasi vya Maandiko Matakatifu. Nao wanavaa kanzu zenye pembe ndefua

View File

@ -363,6 +363,7 @@
"22-43",
"22-45",
"23-title",
"23-01",
"24-title",
"24-01",
"24-03",