Sun Oct 11 2020 19:03:20 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest)

This commit is contained in:
tsDesktop 2020-10-11 19:03:21 +01:00
parent 2b91fa3818
commit bc08228c50
3 changed files with 3 additions and 0 deletions

1
15/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 Ninyi wanafiki! Isaya alitabiri vema juu yenu, wakati aliposema maneno haya: \v 8 “Watu hawa wananiheshimu kwa midomo yao. Lakini mioyo yao ni mbali nami. \v 9 Ibada wanayonifanyia ni ya bure, sababu mafundisho yao yanalingana na kanuni za watu tu.”»

1
15/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 \v 11 Kisha Yesu akaita kundi la watu na kuwaambia: «Musikilize na kuelewa maneno nitakayowaambia. 11 Kitu kinachoingia ndani ya kinywa cha mtu hakiwezi kumuchafua. Lakini ni kile kinachotoka ndani ya kinywa chake ndicho kinachomuchafua.

View File

@ -256,6 +256,7 @@
"15-title",
"15-01",
"15-04",
"15-07",
"16-title",
"16-01",
"16-03",