Sun Oct 11 2020 18:39:20 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest)
This commit is contained in:
parent
56d097e7f6
commit
2b91fa3818
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\c 15 \v 1 Wafarisayo na walimu wa Sheria wakamufikia Yesu kutoka Yerusalema. Basi wakamwuliza: \v 2 «Kwa sababu gani wanafunzi wako wanavunja desturi za babu zetu kwa kula chakula pasipo kunawa mikono? \v 3 Yesu akawajibu: “Na ninyi, kwa sababu gani munavunja amri ya Mungu kwa kufuata desturi zenu?
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 4 Kwa maana Mungu alisema: Uwaheshimu baba yako na mama yako.” Naye alisema vilevile: “Anayelaani baba yake au mama yake anapaswa kuuawa.” \v 5 Lakini ninyi munasema kwamba mtu akiwa na kitu ambacho angeweza kuwasaidia baba yake au mama yake, lakini akimwambia kwamba amekitoa sadaka kwa Mungu, \v 6 basi, hapaswi tena kumusaidia baba yake. Hivi munazarau Neno la Mungu kwa kufuata desturi zenu
|
|
@ -254,6 +254,8 @@
|
|||
"14-31",
|
||||
"14-34",
|
||||
"15-title",
|
||||
"15-01",
|
||||
"15-04",
|
||||
"16-title",
|
||||
"16-01",
|
||||
"16-03",
|
||||
|
|
Loading…
Reference in New Issue