Sun Oct 11 2020 18:25:20 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest)

This commit is contained in:
tsDesktop 2020-10-11 18:25:21 +01:00
parent 280c0087b7
commit ba4e5b6111
3 changed files with 3 additions and 0 deletions

1
23/20.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 20 Katika haya yote mtu anayeapa kwa jina la mazabahu anaapa kwa jina lile na kwa majina ya vyote vinavyokuwa juu yake. \v 21 Vilevile anayeapa kwa jina la hekalu anaapa kwa jina lile na kwa jina la Mungu anayekuwa ndani yake. \v 22 Naye anayeapa kwa jina la mbingu anaapa kwa jina la kiti cha kifalme cha Mungu na kwa jina la Mungu anayeikaa juu yake.

1
23/23.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 23 Ole kwenu, ninyi walimu wa Sheria na Wafarisayo, ninyi wanafiki! Munatoa fungu moja la kumi la vijani vya kukoleza chakula, lakini mumeacha mambo makubwa yanayoamuriwa na Sheria, kama vile haki, huruma, na uaminifu. Mambo hayo ndiyo muliyopaswa kushika pasipo kuacha mengine. \v 24 Ninyi waongozi vipofu! Munapokunywa, munachuya imbu toka katika vinywaji vyenu, lakini munameza ngamia!

View File

@ -371,6 +371,7 @@
"23-13",
"23-16",
"23-18",
"23-20",
"24-title",
"24-01",
"24-03",