Sun Oct 11 2020 18:13:20 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest)
This commit is contained in:
parent
9c4d068994
commit
8e77e2da79
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 27 Nani kati yenu, kwa ajili ya kujisumbua kwake, anaweza kujiongezea hata siku moja kupita muda wa maisha yake? \v 28 Kwa sababu gani munajisumbua kwa ajili ya nguo? Muangalie maua jinsi yanavyoota. Hayatumiki wala kujisukia nguo. \v 29 Lakini ninawaambia kwamba hata mfalme Solomono katika utukufu wote aliokuwa nao hakuvaa nguo inayoweza kulinganishwa na uzuri wa moja la maua yale.
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 30 Basi ikiwa Mungu anavalisha majani kama hivi, yanayoonekana leo na kesho yanatoweka na kutupwa katika moto, hatawavalisha ninyi vizuri zaidi, ninyi wenye imani ndogo? \v 31 Basi musijisumbue kwa ajili ya chakula, kwa ajili ya kinywaji au kwa ajili ya nguo.
|
|
@ -109,6 +109,8 @@
|
|||
"06-19",
|
||||
"06-22",
|
||||
"06-25",
|
||||
"06-27",
|
||||
"06-30",
|
||||
"07-title",
|
||||
"07-01",
|
||||
"07-03",
|
||||
|
|
Loading…
Reference in New Issue