diff --git a/06/27.txt b/06/27.txt new file mode 100644 index 0000000..faa50b4 --- /dev/null +++ b/06/27.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 27 Nani kati yenu, kwa ajili ya kujisumbua kwake, anaweza kujiongezea hata siku moja kupita muda wa maisha yake? \v 28 Kwa sababu gani munajisumbua kwa ajili ya nguo? Muangalie maua jinsi yanavyoota. Hayatumiki wala kujisukia nguo. \v 29 Lakini ninawaambia kwamba hata mfalme Solomono katika utukufu wote aliokuwa nao hakuvaa nguo inayoweza kulinganishwa na uzuri wa moja la maua yale. \ No newline at end of file diff --git a/06/30.txt b/06/30.txt new file mode 100644 index 0000000..d826c81 --- /dev/null +++ b/06/30.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 30 Basi ikiwa Mungu anavalisha majani kama hivi, yanayoonekana leo na kesho yanatoweka na kutupwa katika moto, hatawavalisha ninyi vizuri zaidi, ninyi wenye imani ndogo? \v 31 Basi musijisumbue kwa ajili ya chakula, kwa ajili ya kinywaji au kwa ajili ya nguo. \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index 55c3ef9..95dc038 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -109,6 +109,8 @@ "06-19", "06-22", "06-25", + "06-27", + "06-30", "07-title", "07-01", "07-03",