Sun Oct 11 2020 18:35:20 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest)

This commit is contained in:
tsDesktop 2020-10-11 18:35:21 +01:00
parent 8141c7bef2
commit 8c15054983
2 changed files with 2 additions and 0 deletions

1
23/37.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 37 Ewe Yerusalema, Ewe Yerusalema. Wewe unaua manabii na kuwatupia mawe wale ambao Mungu anakutumia. Mara nyingi nilitaka kuwakusanya wakaaji wako kama vile kuku anavyokusanya vitoto vyake chini ya mabawa yake, lakini ninyi hamukutaka! \v 38 Angalia, makao yenu yanaachwa ukiwa. \v 39 Kwa maana ninawaambia, tangia sasa hamutaniona tena mpaka mutakaposema: «Abarikiwe huyu anayekuja kwa jina la Bwana.»

View File

@ -378,6 +378,7 @@
"23-29",
"23-32",
"23-34",
"23-37",
"24-title",
"24-01",
"24-03",