diff --git a/23/37.txt b/23/37.txt new file mode 100644 index 0000000..a8ee5b3 --- /dev/null +++ b/23/37.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 37 Ewe Yerusalema, Ewe Yerusalema. Wewe unaua manabii na kuwatupia mawe wale ambao Mungu anakutumia. Mara nyingi nilitaka kuwakusanya wakaaji wako kama vile kuku anavyokusanya vitoto vyake chini ya mabawa yake, lakini ninyi hamukutaka! \v 38 Angalia, makao yenu yanaachwa ukiwa. \v 39 Kwa maana ninawaambia, tangia sasa hamutaniona tena mpaka mutakaposema: «Abarikiwe huyu anayekuja kwa jina la Bwana.» \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index 1787250..cd0c99d 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -378,6 +378,7 @@ "23-29", "23-32", "23-34", + "23-37", "24-title", "24-01", "24-03",